Kumbe tunakoenda tutakuwa na Mawakili wa Akili Mnemba AI mahakamani? Mh BAK Mwabukusi unalielezeaje hili!

BAK ndo Mwabukusi na Mzee Mgaya ndo wewe!?
 
Huku zikitumiwa halafu zikaruhusu dhamana kwa Wapinzani zitafunguliwa ili Haki Jinai izidi kuendeshwe ki CCM.
 
Imeandikwa ktk Biblia kwamba nyakati za siku za mwisho maarifa yataongezeka.
 
Hii itakuwa nzuri sana ikianza kufanya kazi Tanzania.maana AI huwezi kuipigia simu kuielekeza namna ya kuiamua KESI kama ambayo ilivyo Sasa ambapo mheshimiwa Huwa anawapigia simu mahakimu kuiamua namna anavyotaka
 
Kwa akili mnemba mtakuta imetoa amri rais kikwete akamatwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…