Kumbe tunakoenda tutakuwa na Mawakili wa Akili Mnemba AI mahakamani? Mh BAK Mwabukusi unalielezeaje hili!

Kumbe tunakoenda tutakuwa na Mawakili wa Akili Mnemba AI mahakamani? Mh BAK Mwabukusi unalielezeaje hili!

Kwenye mahafali ya Chuo kimoja hapo Kenya Mbunge amesema mahakama kuu inafunga AI 400 hivyo watuhumiwa hawatahitajika tena kwenda na Wanasheria

Binafsi sijaielewa kabisa hii

Rais wa TLS mh BAK Mwabukusi naomba Ufafanuzi kwa sababu hii yote ni Africa Mashariki

cc: Pascal Mayalla
BAK ndo Mwabukusi na Mzee Mgaya ndo wewe!?
 
Huku zikitumiwa halafu zikaruhusu dhamana kwa Wapinzani zitafunguliwa ili Haki Jinai izidi kuendeshwe ki CCM.
 
Kwenye mahafali ya Chuo kimoja hapo Kenya Mbunge amesema mahakama kuu inafunga AI 400 hivyo watuhumiwa hawatahitajika tena kwenda na Wanasheria

Binafsi sijaielewa kabisa hii

Rais wa TLS mh BAK Mwabukusi naomba Ufafanuzi kwa sababu hii yote ni Africa Mashariki

cc: Pascal Mayalla
Imeandikwa ktk Biblia kwamba nyakati za siku za mwisho maarifa yataongezeka.
 
Hii itakuwa nzuri sana ikianza kufanya kazi Tanzania.maana AI huwezi kuipigia simu kuielekeza namna ya kuiamua KESI kama ambayo ilivyo Sasa ambapo mheshimiwa Huwa anawapigia simu mahakimu kuiamua namna anavyotaka
 
Back
Top Bottom