HUGO CHAVES
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 2,045
- 549
mkuu tutafutane barafu isitutenganishe ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Hata Mimi SIPENDI Kabisa Kukaa Huku MAREKANI ( MAMTONI ) Ila Sijui Kwanini SITAKI Kuondoka Wakati Huu Sasa Ni Mwaka Wangu Wa 27 Naiashi Huku. Kama Vipi Nipe MBINU Je Nifanyeje Ili Niweze Kupata Hamu ILIYOTUKUKA Ya Mimi Kuweza Kurudi Huko Tanzania?
Nifah naomba kujua maana ya popoma. Nakutana nalo sana hili neno na sielewi maana yakeHuyu popoma ana matatizo sana.
Subiri akujibu popoma mwenye jina lake.Nifah naomba kujua maana ya popoma. Nakutana nalo sana hili neno na sielewi maana yake
Hivi GENTAMYCINE ni muhaya? am curious
Unaenda kuwa agent wa agency ipi kati ya CIA, FBI, Secret Service?
ni will smith au wily smith au we unamuongelea yupi labda
'aliekupumulia' ndo yupiYule " Aliyekupumulia ".
Sasa huyo nae asipo elewa maana ya popoma ni kama kichwa cha mleta mada GENTAMYCINE ,hakuna tena namna ya kumsaidia
'aliekupumulia' ndo yupi
hivi huyu jamaa c ndo alileta uzi majuzi tu akilalamika kuhusu utupwaji wa pedi ovyo au!!