Kumbe Tupac alijua kuhusu tusi la "mamayo"

Kweli mkuu, kuna wosia mkali sana kwenye Letter to my unborn child.
 
Mara hujui, mara nyimbo zao zinachochea madawa ya kulevya.

Kawasikilize na uelewe.

Mi shabiki mkubwa sana wa muziki wa aina zote,

90% ya Lyrics za nyimbo za hip hop, ni kuhusu ku hustle (pimping, drug dealing, robbery), ku party (pombe, wanawake, madawa) kutumia hela kwa fujo, kuuana wao kwa wao. So nazungumza kitu ninachokijua hapa

Ndio maana cover za albam na nyimbo nyingi za hiphop zimeandikwa onyo kuwa hazifai kusikiliza watoto, zinawapa inspiration mbaya

Japo kuna zenye content nzuri ila nyingi ndio zinakuaga hivyo

Tofauti na kada nyingine za muziki
 
Jifunze kiswahili vizuri...
kuhusudu na kuabudu ni vitu viwili tofauti........
Jipange...
 
Hajui chochote huyo mama....
 
Mkuu kwani unamzungumzia 2pac yupi?
Huyu huyu ambae mashairi yake yanatumika kufundishia vyuoni na mashuleni kule Marekani?
https://dailyegyptian.com/32611/arc...ity-offer-courses-using-tupac-shakurs-lyrics/
https://ew.com/article/2015/06/11/hip-hop-schools-kendrick-lamar/
http://www.mtv.com/news/1171/berkeley-university-offers-class-on-tupac/

Kisha malizia kumsoma hapo chini utaelewa kwanini anamekuwa highly regarded na watu wa hadhi tofauti toka wadogo hadi wanazuoni.
https://2paclegacy.net/the-reasons-why-we-should-study-tupac-shakur-as-a-political-figure-in-school/
 
Tupaki anakolabo na chidi mwana anaonekana mitaa ya ilala daily
 
Hichi ulichotafuna leo cha mara sio cha arusha
 
Hiyo title sasa mods wasipoifuta hii sijui
 
Tupac Hakupigwa risasi . He still.alive
Why aonekane wAkati.lengo lake haswa lilikuwa NI to fool his enemies into blvng that he is dead so that he can use that as a pretext to go.somewjere and start a.new.and.peaceful life?
Tupac kafa muda tu
 
Na wanao u discuss kama wamevuta bangi hivi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚

Joking
 
Tupac Hakupigwa risasi . He still.alive
Why aonekane wAkati.lengo lake haswa lilikuwa NI to fool his enemies into blvng that he is dead so that he can use that as a pretext to go.somewjere and start a.new.and.peaceful life?
Pronto!!!!No research,no data,no right to speak.....and viceversa ofcourse!!!!Kukusahihisha;no body gives a shit about Lesane Parish Crooks _alas_ Tupac Amaru Shakuru except of what he did and does to the society and the world at large *but you* That nigger got shot,dead and gone!!!!Period!!!
 
Unajua maana ya mtumwa..?
 
Mwabudu makonda au polepole basis.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…