Eti GDP ya Israel ni ngapi FF?
Giorgio Armani si mtaliano yule?Vinamiilikiwa na waisraeli.
Hivi tunabishana nini? hayo mnayaeneza nyie wenyewe mitandaoni mkihamasisha waislamu wasinunue hizo bidhaa ili kuwakomoa wayahudi, hizo bidhaa ni baadhi tu na ni zili za matumizi ya kila siku, wakiwawekea dhahabu na makampuni ya mafuta mtaweza kuyanunua?
Mkuu soma historia kwa uzuri kila kitu kwa Dunia hii kinamilikiwa na Myahadi ambaye ndio Muisrael.Ile nchi ina kila kitu kwanza ni ndogo lakini Ulimwengu unaiogopa kwa kila kitu kwa vita nk,Huwezi kuwakataa hawa watu labda akili yako iwe sio nzuri.Kwa kidogooo nikupe Madawa yote ya Hospital wao ndio wagunduzi kama vile Moyo,sukari nk hawa jamaa hata kama awe nusu Myahudi na awe anaishi hata Igunga Tabora lakini moyo wake wote uko Israel kwani kama utakumbuka ni nchi ya ahadi walipewa na Mungu hata kule Gaza kote ni kwao sema tu wengine hawafuati Historia ya hawa watu.Kwa mfano wewe kwenu ni Bongo then ukaondoka Bongo miaka mingi then ukaamua kurudi ukakuta wavamizi utakaa au utawaachi nchi yako?Kwa hiyo makao makuu ya hayo makampuni yote yako Israel?
Kama ni hivyo kwa nini sasa Israel haina uchumi mkubwa zaidi duniani?
[[/IMG]
Na hao wanaowapa misaada ni kina nani kama sio Wayahudi wenzao mbona hamtaki kuelewa ile misaada ni kama politic issue hivi kwa kuwa wale Wayahudi wanamiliki USA so wanatumia jina msaada kwa Israel kwa kuwa wako wanaishi kule na kumbuka wote Matajiri kwa Dunia hii ni Wayahudi na wana Uraia wa Kiisrael hiyo piga ua kubali kataa.Waisraeli waongoze Kwa UCHUMI na ile misaada ya MILIONI $ na BILLIONS $ KWA MWEZI wanayopewa NA U.S.A ni ya Kufanyia nini?
Uchache wa ELIMU ni mzigo mkubwa sana.
.
US Financial Aid To Israel -
US Financial Aid To Israel - Figures, Facts And Impact
Figures, Facts And Impact
Washington Report On Middle East Affairs
RMEA.com
11-9-2
Summary
-
Benefits to Israel of U.S. Aid
Since 1949 (As of November 1, 1997)
-
Foreign Aid Grants and Loans
$74,157,600,000
-
Other U.S. Aid (12.2% of Foreign Aid)
$9,047,227,200
-
Interest to Israel from Advanced Payments
$1,650,000,000
-
Grand Total
$84,854,827,200
-
Total Benefits per Israeli
$14,630
-
Cost to U.S. Taxpayers of U.S.
Aid to Israel
Grand Total
$84,854,827,200
-
Interest Costs Borne by U.S.
$49,936,680,000
-
Total Cost to U.S. Taxpayers
$134,791,507,200
-
Total Cost per Israeli
$23,240
-
Special Reports:
-
U.S. Aid To Israel:
The Strategic Functions
U.S. Aid to Israel:
What U.S. Taxpayer Should Know
U.S. Aid to Israel:
Interpreting the 'Strategic Relationship'
The Cost of Israel to U.S. Taxpayers:
True Lies About U.S. Aid to Israel
US Financial Aid To Israel - Figures, Facts And Impact
Hapo kwenye red inabidi ufafanue maandishi ya kwenye Biblia yamekaa vipi kipumbavu
Ndio maana watu wengi wenye ku reason huwezi kuwakuta humo kwenye hii dini yako
Humo wengi wao utawapata sampuli ya kina Gavana ambao hawafikirii...
Yeah!!Sasa Arsenal tutaigomeaje wakuu? Washabiki Wa arsenal mko tayari?
Na hao wanaowapa misaada ni kina nani kama sio Wayahudi wenzao mbona hamtaki kuelewa ile misaada ni kama politic issue hivi kwa kuwa wale Wayahudi wanamiliki USA so wanatumia jina msaada kwa Israel kwa kuwa wako wanaishi kule na kumbuka wote Matajiri kwa Dunia hii ni Wayahudi na wana Uraia wa Kiisrael hiyo piga ua kubali kataa.
Kwasababu kwenye Kuruan hakuna jina Palestina LAKINI ISRAEL Ipo ndani ya Kuruan. Msiba huu kwa Waislam.Alafu sijui kwa nini mnahusisha vita ya israel na parestina na uislam au ukristo....ugomvi wao sio dini ni ardhi
Wacha kutaja majina ya watu wewe!
Mbona nyie watu wa makanisa mnapenda kuharibu mjadala?
We nidhamu yako ni ndogo sana ya kujadili.
Hii thread imekaa kipumbavu pumbavu kama maandishi ya kwenye BIBLIA....
They are blessed by thy man above