Kumbe uchumi wote wa dunia umeshikwa na Israel?

Kumbe uchumi wote wa dunia umeshikwa na Israel?

Status
Not open for further replies.
Hivi tunabishana nini? hayo mnayaeneza nyie wenyewe mitandaoni mkihamasisha waislamu wasinunue hizo bidhaa ili kuwakomoa wayahudi, hizo bidhaa ni baadhi tu na ni zili za matumizi ya kila siku, wakiwawekea dhahabu na makampuni ya mafuta mtaweza kuyanunua?

Unazungumzia nini?!!...au umekosea kuquote?
 
Kwa hiyo makao makuu ya hayo makampuni yote yako Israel?

Kama ni hivyo kwa nini sasa Israel haina uchumi mkubwa zaidi duniani?
Mkuu soma historia kwa uzuri kila kitu kwa Dunia hii kinamilikiwa na Myahadi ambaye ndio Muisrael.Ile nchi ina kila kitu kwanza ni ndogo lakini Ulimwengu unaiogopa kwa kila kitu kwa vita nk,Huwezi kuwakataa hawa watu labda akili yako iwe sio nzuri.Kwa kidogooo nikupe Madawa yote ya Hospital wao ndio wagunduzi kama vile Moyo,sukari nk hawa jamaa hata kama awe nusu Myahudi na awe anaishi hata Igunga Tabora lakini moyo wake wote uko Israel kwani kama utakumbuka ni nchi ya ahadi walipewa na Mungu hata kule Gaza kote ni kwao sema tu wengine hawafuati Historia ya hawa watu.Kwa mfano wewe kwenu ni Bongo then ukaondoka Bongo miaka mingi then ukaamua kurudi ukakuta wavamizi utakaa au utawaachi nchi yako?
 

The people whom you Worship are poor than TZ!

They beg and beg and beg.!

You seems to know NOTHING about them, do you?

http://www.rense.com/general31/rege.htm

Rense.com

-
US Financial Aid To Israel -
Figures, Facts And Impact
Washington Report On Middle East Affairs
RMEA.com
11-9-2

Summary
-
Benefits to Israel of U.S. Aid
Since 1949 (As of November 1, 1997)
-
Foreign Aid Grants and Loans
$74,157,600,000
-
Other U.S. Aid (12.2% of Foreign Aid)
$9,047,227,200
-
Interest to Israel from Advanced Payments
$1,650,000,000
-
Grand Total
$84,854,827,200
-
Total Benefits per Israeli
$14,630
-
Cost to U.S. Taxpayers of U.S.
Aid to Israel
-
Grand Total
$84,854,827,200
-
Interest Costs Borne by U.S.
$49,936,680,000
-
Total Cost to U.S. Taxpayers
$134,791,507,200
-
Total Cost per Israeli
$23,240
 
Hata gas ya TZ ni ya israel...acheni kuwapraise ni wakawaida tu sema niwachapa kazi hata TZ wakichapa kazi watakuwa kama wao......prophetically israel means wale wote watakatifu wala sio nchi ya israel....Jacob aliambiwa uzao wako utakuwa kama nyota za mbinguni na mchanga wa bahari....maana yake ni kuwa Jacob atakuwa na products mbili kwanza wale watakatifu (nyota za mbinguni) na wale waovu ( mchanga wa bahari)......ila sio kuwa nchi ya israel imebalikiwa sana kuliko wengine...mkisoma bible msisome kama novel.....
 
Duuu kuna watu hata vichwa vyao vipigwe rungu hawaelewe..they do think by using their bells..sasa kipi hakieleweki hapo kuhusu israel. If you want to argue know what it means by counter arguments usifanye emotional arguments
 
Nikimwona mtu anatetea upumbavu unaofanywa na Israel nashindwa kabisa kumwelewa!
 
Waisraeli waongoze Kwa UCHUMI na ile misaada ya MILIONI $ na BILLIONS $ KWA MWEZI wanayopewa NA U.S.A ni ya Kufanyia nini?

Uchache wa ELIMU ni mzigo mkubwa sana.
.

US Financial Aid To Israel -

US Financial Aid To Israel - Figures, Facts And Impact

Figures, Facts And Impact
Washington Report On Middle East Affairs
RMEA.com
11-9-2

Summary
-
Benefits to Israel of U.S. Aid
Since 1949 (As of November 1, 1997)
-
Foreign Aid Grants and Loans
$74,157,600,000
-
Other U.S. Aid (12.2% of Foreign Aid)
$9,047,227,200
-
Interest to Israel from Advanced Payments
$1,650,000,000
-
Grand Total
$84,854,827,200
-
Total Benefits per Israeli
$14,630
-
Cost to U.S. Taxpayers of U.S.
Aid to Israel

Grand Total
$84,854,827,200
-
Interest Costs Borne by U.S.
$49,936,680,000
-
Total Cost to U.S. Taxpayers
$134,791,507,200
-
Total Cost per Israeli
$23,240
-
Special Reports:
-
U.S. Aid To Israel:


The Strategic Functions
U.S. Aid to Israel:


What U.S. Taxpayer Should Know
U.S. Aid to Israel:


Interpreting the 'Strategic Relationship'

The Cost of Israel to U.S. Taxpayers:


True Lies About U.S. Aid to Israel

US Financial Aid To Israel - Figures, Facts And Impact
Na hao wanaowapa misaada ni kina nani kama sio Wayahudi wenzao mbona hamtaki kuelewa ile misaada ni kama politic issue hivi kwa kuwa wale Wayahudi wanamiliki USA so wanatumia jina msaada kwa Israel kwa kuwa wako wanaishi kule na kumbuka wote Matajiri kwa Dunia hii ni Wayahudi na wana Uraia wa Kiisrael hiyo piga ua kubali kataa.
 
Hapo kwenye red inabidi ufafanue maandishi ya kwenye Biblia yamekaa vipi kipumbavu

Ndio maana watu wengi wenye ku reason huwezi kuwakuta humo kwenye hii dini yako

Humo wengi wao utawapata sampuli ya kina Gavana ambao hawafikirii...

Wacha kutaja majina ya watu wewe!

Mbona nyie watu wa makanisa mnapenda kuharibu mjadala?

We nidhamu yako ni ndogo sana ya kujadili.
 
Last edited by a moderator:
Alafu sijui kwa nini mnahusisha vita ya israel na parestina na uislam au ukristo....ugomvi wao sio dini ni ardhi
 
Mie nitaendelee kununu bidhaa kotoka kwa mashirika ya Wayahudi popote pale kwani nikikataa kununua nitakufa njaa na kufa kwa magonjwa kwani dawa zote wao ndio wavumbuzi mijinga tu asiyefahamu ndio utaunga mkono na mwisho wa siku atakufa njaa au kwa maradhi ambayo yanatibika.Wabongo kataeni muone joto ya jiwe maake Bongo hata Aspirini haitengenezi na hata kama itatengeneza itakuwa chini ya Myahudi kwani yeye ndio muanzilishi
 
Na hao wanaowapa misaada ni kina nani kama sio Wayahudi wenzao mbona hamtaki kuelewa ile misaada ni kama politic issue hivi kwa kuwa wale Wayahudi wanamiliki USA so wanatumia jina msaada kwa Israel kwa kuwa wako wanaishi kule na kumbuka wote Matajiri kwa Dunia hii ni Wayahudi na wana Uraia wa Kiisrael hiyo piga ua kubali kataa.

Jaribu kutumia kichwa kidogo kufikiri.

SISI Wahamiaji tuishio USA TUNAKATWA KODI YETU na Hio ndio iendayo ISRAEL kuwanenepesha wale WAUWAJI.

Sasa huo utumbo wa kusema Wanaowapa ni WAISRAELI WENZAO umeuotoa CHADEMA au?

Hivi Watanzania lini tutaacha KUROPOKA OVYO?

Duh! Yaani utafkiri taifa letu limepigwa laana ya UJINGA!

yesu wangu eee!
 
Alafu sijui kwa nini mnahusisha vita ya israel na parestina na uislam au ukristo....ugomvi wao sio dini ni ardhi
Kwasababu kwenye Kuruan hakuna jina Palestina LAKINI ISRAEL Ipo ndani ya Kuruan. Msiba huu kwa Waislam.
 
Huu upumbavu huu wakushabikia watu wengine mnaweza mkajikuta mnasema hata wake zenu ni mali ya wayahudi!
 
Wacha kutaja majina ya watu wewe!

Mbona nyie watu wa makanisa mnapenda kuharibu mjadala?

We nidhamu yako ni ndogo sana ya kujadili.

Jamaa yako aliyesema hivi ndio ana nidhamu kubwa ya kujadili eti!?

Na amependezesha mjadala eti

Hebu muangalie hapa chini, nilichoongea ni ukweli lakini ni mchungu kwenu, si huwa nawaona, mtu mwenye akili utamkuta humo, sampuli nyingi ni za kina Gavana, hebu mcheck hapa chini jamaa yako
Hii thread imekaa kipumbavu pumbavu kama maandishi ya kwenye BIBLIA....
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom