Kumbe Urusi ndio anavuruga amani ya Afrika

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Kumba Urusi ndio kinara wa kuuza silaha Africa baada ya China

Silaha hizi ndio zinatumika kuvuruga amani Africa

Siku zote tunalaumi nchi za Magharibi kumbe wachawi halisi ni Urusi na China
Screenshot_20230320-161433.png
 
Hakuna mtu mweupe anaitakia Afrika mema.Kila mmoja anatafuta maslah yake halafu utaskia mwafirika tena msomi kabisa anasema Urusi na China ni wakombozi.Wakati viwandani wanalipa mtu sh 6000/=Kwa siku.
 
Kumba Urusi ndio kinara wa kuuza silaha Africa baada ya China

Silaha hizi ndio zinatumika kuvuruga amani Africa

Siku zote tunalaumi nchi za Magharibi kumbe wachawi halisi ni Urusi na ChinaView attachment 3173760
Silaha zake ni bei poa kuliko za ulaya magharibi na Marekani ndio maana zimezagaa huku Africa.
 
So ile dhana ya kuwa nchi za Magharibi ndio zinazovunja amani ya Africa kwa kusambaza silaha vip?
 
Wao pia hununua hizo silaha za bei rahisi na kuzisambaza kupitia nchi nyingine.
 
Kalashnikov ndio bunduki inayotumika zaidi katika vita Africa, hata upande wa polisi inawezekana ndio bunduki inayotumika zaidi.
 
Kumba Urusi ndio kinara wa kuuza silaha Africa baada ya China

Silaha hizi ndio zinatumika kuvuruga amani Africa

Siku zote tunalaumi nchi za Magharibi kumbe wachawi halisi ni Urusi na ChinaView attachment 3173760

We unashangaa hilo wakat rais wa central africa alikuwa analindwa na mercenaries wa kirusi wale wagner.. yaan aliondoa silaha kwa jeshi lake akihofia kupinduliwa akaliacha lina silaha chache tu. Ila yeye msafara wake wake analindwa na wazungu wenye silaha

Afrika bure kabisa
 
Embu acha uongo kijana
Jamhuri ya Afrika ya kati ilikuwa imegawanywa na mabwana vita,
Serikari ilitawala mitaa miwili tu.
Hao mabwana vita walikuwa wanafadhiliwa na Ufaransa.
Mrusi kaenda kustabilise pale, kurudisha udhibiti wa Serikari.
Embu tupe uthibitisho wa Serikari ya jamhuri ya Afrika ya kati kutowapa siraha askari wake.
 
Kumba Urusi ndio kinara wa kuuza silaha Africa baada ya China

Silaha hizi ndio zinatumika kuvuruga amani Africa

Siku zote tunalaumi nchi za Magharibi kumbe wachawi halisi ni Urusi na ChinaView attachment 3173760
Kuna nchi inalazimishwa kununua silaha kumbe sasa mnanunua wenyewe kwa hiari yenu muuane then muilaumu urusi , na hpendi kununua majembe mkalime mkivuna mmshukuru MUNGU
 
Kuna kitu hakipo sawa kwenye taarifa Yako na sio Kwa bahati mbaya bali Kwa lengo la upotofu.

Kila nchi duniani hununua silaha Kwa matumizi rasmi ya shughuli za ulinzi. Lakini pia Kuna makundi ya kigaidi na uporaji hununua silaha mbalimbali Kwa njia ya panya Kwa malengo ya kihalifu.

Je taarifa Yako inalenga kundi lipo? Je chanzo cha taarifa Yako ni ipo?

Naona pia watu wanazilaumu china na Urusi Kwa kuuza silaha hizo Africa. Bila kusema silaha wanazotumia Boko Haram, alshabab, n.kwanapewa na nani? Tukijua Hilo hatutakuwa na mihemko ninayoiona
 
Russia na China ndio wana silaha za bei nafuu kwahiyo sub Saharan Africa lazima wanunue zaidi uko, haijalishi ni serikali au makundi ya wapiganaji.

Hao al Shabaab na Boko Haram wamejazana na RPG, AK-47 na PKM. Wamepewa, wameziiba kwenye maghala ya serikali, wamezinunua wenyewe, wameziteka. Vyovyote vile ila wanazo silaha za Mrusi kwa wingi.
 
Embu acha uongo kijana
Jamhuri ya Afrika ya kati ilikuwa imegawanywa na mabwana vita,
Serikari ilitawala mitaa miwili tu.
Hao mabwana vita walikuwa wanafadhiliwa na Ufaransa.
Mrusi kaenda kustabilise pale, kurudisha udhibiti wa Serikari.
Embu tupe uthibitisho wa Serikari ya jamhuri ya Afrika ya kati kutowapa siraha askari wake.

Kaka ni kweli central Africa ilikuwa imegawanywa kwa mabwana vita ila serikali ilikuwa inatawala nusu ya nchi na nusu ingine waligawana hao mabwana vita Machafuko ya kwanza yalipotokea kati ya christians majority (south) na islam minorities (north) ufaransa alipeleka jeshi akastablize kwa mda baada akatoka akawaachia walinda amani wa UN. Mara vita ikaibuka tena na serikali ya central afrika ikaona Ufaransa wamewasanda ndio wakaingia kwa Urusi kuomba msaada na Urusi akapeleka Wagner

Angalia video za hapo chini.. Urusi yuko kwenye mission ya kuchukua influence ya France hapo afrika ya kati ameenza zaid ya miaka miwili nyuma

Mpaka raisi ametengeneza sanam za kiongozi wa wagner kumuenzi kama ni uchawa rais wa afrika ya kati kafuzu kwa viwango.. hadi ulindwe na foreign forces .. that is very absurds

View: https://youtu.be/Tsx638HjWVc?si=d0zo-KM55Uhuc97-

View: https://youtu.be/xIjZX6ft02k?si=_apL9T-nftNnimwn
 
ulaya wanunue za nn ,wakati mawaziri wanajipandia tren kuja ofisini na kurudi makwao

Huku ambako RAIS anaweza sema mnanijua Mimi lazima ziendelee kununuliwa dhidi ya mwanadamu
 
Back
Top Bottom