Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Beberu mrusi ni mbaya kuliko beberu US na wa-magharibiKumba Urusi ndio kinara wa kuuza silaha Africa baada ya China
Silaha hizi ndio zinatumika kuvuruga amani Africa
Siku zote tunalaumi nchi za Magharibi kumbe wachawi halisi ni Urusi na ChinaView attachment 3173760
Urusi huwa anaonekana eti ndio rafiki wa kweli wa AfricaWote wadwanzi sema Marekani ndiyo Kubwa la wadwanzi
Silaha zake ni bei poa kuliko za ulaya magharibi na Marekani ndio maana zimezagaa huku Africa.Kumba Urusi ndio kinara wa kuuza silaha Africa baada ya China
Silaha hizi ndio zinatumika kuvuruga amani Africa
Siku zote tunalaumi nchi za Magharibi kumbe wachawi halisi ni Urusi na ChinaView attachment 3173760
So ile dhana ya kuwa nchi za Magharibi ndio zinazovunja amani ya Africa kwa kusambaza silaha vip?Silaha zake ni bei poa kuliko za ulaya magharibi na Marekani ndio maana zimezagaa huku Africa.
Wao pia hununua hizo silaha za bei rahisi na kuzisambaza kupitia nchi nyingine.So ile dhana ya kuwa nchi za Magharibi ndio zinazovunja amani ya Africa kwa kusambaza silaha vip?
Kumba Urusi ndio kinara wa kuuza silaha Africa baada ya China
Silaha hizi ndio zinatumika kuvuruga amani Africa
Siku zote tunalaumi nchi za Magharibi kumbe wachawi halisi ni Urusi na ChinaView attachment 3173760
Embu acha uongo kijanaWe unashangaa hilo wakat rais wa central africa alikuwa analindwa na mercenaries wa kirusi wale wagner.. yaan aliondoa silaha kwa jeshi lake akihofia kupinduliwa akaliacha lina silaha chache tu. Ila yeye msafara wake wake analindwa na wazungu wenye silaha
Afrika bure kabisa
Kuna nchi inalazimishwa kununua silaha kumbe sasa mnanunua wenyewe kwa hiari yenu muuane then muilaumu urusi , na hpendi kununua majembe mkalime mkivuna mmshukuru MUNGUKumba Urusi ndio kinara wa kuuza silaha Africa baada ya China
Silaha hizi ndio zinatumika kuvuruga amani Africa
Siku zote tunalaumi nchi za Magharibi kumbe wachawi halisi ni Urusi na ChinaView attachment 3173760
Russia na China ndio wana silaha za bei nafuu kwahiyo sub Saharan Africa lazima wanunue zaidi uko, haijalishi ni serikali au makundi ya wapiganaji.Kuna kitu hakipo sawa kwenye taarifa Yako na sio Kwa bahati mbaya bali Kwa lengo la upotofu.
Kila nchi duniani hununua silaha Kwa matumizi rasmi ya shughuli za ulinzi. Lakini pia Kuna makundi ya kigaidi na uporaji hununua silaha mbalimbali Kwa njia ya panya Kwa malengo ya kihalifu.
Je taarifa Yako inalenga kundi lipo? Je chanzo cha taarifa Yako ni ipo?
Naona pia watu wanazilaumu china na Urusi Kwa kuuza silaha hizo Africa. Bila kusema silaha wanazotumia Boko Haram, alshabab, n.kwanapewa na nani? Tukijua Hilo hatutakuwa na mihemko ninayoiona
Embu acha uongo kijana
Jamhuri ya Afrika ya kati ilikuwa imegawanywa na mabwana vita,
Serikari ilitawala mitaa miwili tu.
Hao mabwana vita walikuwa wanafadhiliwa na Ufaransa.
Mrusi kaenda kustabilise pale, kurudisha udhibiti wa Serikari.
Embu tupe uthibitisho wa Serikari ya jamhuri ya Afrika ya kati kutowapa siraha askari wake.