Kumbe Uwanja wa Gwambina sasa unaitwa Fountain Gate Stadium? Mbona kimya kimya?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Singida Fountain Gate FC tumeamua kuweka Kambi yetu hapa Fountain Gate Stadium ambayo zamani ilikuwa ni Gwambina ila kujiandaa na Mechi yetu ijayo huku huku Kanda ya Ziwa" amesema Msemaji wa Singida Fountain Gate FC Hussein Massanza

Chanzo: Sports Extra ya Clouds FM muda si mrefu (Usiku huu)

Sijui ni kwanini Tanzania mambo ya ghafla ghafla na ya kimya kimya huwa yanapendwa, yanatokea na yameshazoeleka pia.
 
Taarifa yake ilitoka muda tu. Labda ilikupita.

Ni kweli tuliununua uwanja wa Gwambina na hostel zake zote kwa ajili ya kuutumia kwenye programu zetu za vijana na timu ya wanawake.

Kwa sasa umetufaa kuutumia kwa senior team kwenye maandalizi ya mechi za Ligi baada ya CCM Liti kufungiwa.
 
Mliununua?????😳😳😳
 
Uambiwe ww n nani wakati uwanja w gwambina? Nenda uko kwenu CCM viwanja si vipo tu
 
Taarifa yake ilitoka muda tu. Labda ilikupita.

Ni kweli tuliununua uwanja wa Gwambina na hostel zake zote kwa ajili ya kuutumia kwenye programu zetu za vijana na timu ya wanawake.

Kwa sasa umetufaa kuutumia kwa senior team kwenye maandalizi ya mechi za Ligi baada ya CCM Liti kufungiwa.
Mechi zenu za ligi kuu mtakuwa mnatumia uwanja upi? mechi za home
 
Uwanja wa Gwambina kuitwa sasa Fountain Gate Stadium ni jambo Nyeti?
Inabidi na wewe sometimes uone aibu, kama Jambo la kawaida hulijui na huna taarifa nalo utajuaje Jambo nyeti?
Kuwa mpole Tu umechemka[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom