GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Singida Fountain Gate FC tumeamua kuweka Kambi yetu hapa Fountain Gate Stadium ambayo zamani ilikuwa ni Gwambina ila kujiandaa na Mechi yetu ijayo huku huku Kanda ya Ziwa" amesema Msemaji wa Singida Fountain Gate FC Hussein Massanza
Chanzo: Sports Extra ya Clouds FM muda si mrefu (Usiku huu)
Sijui ni kwanini Tanzania mambo ya ghafla ghafla na ya kimya kimya huwa yanapendwa, yanatokea na yameshazoeleka pia.
Uwanja wa Gwambina kuitwa sasa Fountain Gate Stadium ni jambo Nyeti?Ndio unajifanya unajua mambo nyeti,hili tuu lilitangazwa muda mrefu wewe peke yako ndio hujui
Mliununua?????😳😳😳Taarifa yake ilitoka muda tu. Labda ilikupita.
Ni kweli tuliununua uwanja wa Gwambina na hostel zake zote kwa ajili ya kuutumia kwenye programu zetu za vijana na timu ya wanawake.
Kwa sasa umetufaa kuutumia kwa senior team kwenye maandalizi ya mechi za Ligi baada ya CCM Liti kufungiwa.
Rungu la Kukusuuza na kukupa Mimba.KICHAA KAPEWA RUNGU SASA....
USIJARIBU KUPITA MBELE YAKE.
Mechi zenu za ligi kuu mtakuwa mnatumia uwanja upi? mechi za homeTaarifa yake ilitoka muda tu. Labda ilikupita.
Ni kweli tuliununua uwanja wa Gwambina na hostel zake zote kwa ajili ya kuutumia kwenye programu zetu za vijana na timu ya wanawake.
Kwa sasa umetufaa kuutumia kwa senior team kwenye maandalizi ya mechi za Ligi baada ya CCM Liti kufungiwa.
Inabidi na wewe sometimes uone aibu, kama Jambo la kawaida hulijui na huna taarifa nalo utajuaje Jambo nyeti?Uwanja wa Gwambina kuitwa sasa Fountain Gate Stadium ni jambo Nyeti?