Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Uzuri wa mkakasi
Asee nilikuwa nikiona yule totoz aliyejipiga mapicha ya utupu akiwa na nguo,najisemea moyoni,kuna watu wamebarikiwa.
Ila tangu nimwone akiwa mtupu,nimedharau mno!Hata havutii,kumbe nilimkosea tu Mungu kutamani vitu vya hovyo.
Yaani nimeona mpenzi wangu ni mara elfu kwa mvuto akiwa utupu,kuliko huyo niliyemuona mzuri akiwa na Nguo.
Yaani nyie wanawake mjue,uzuri wenu huonekana ukiwa na Nguo tu.Ndio maana ukivuliwa nguo mara moja mtu anakudharau.Hasa ninyi mnaojiona wazuri,mkionesha utupu,hata wanaoonekana wabaya wanawazidi sana.Jiangalieni sana