Kumbe uzuri wa mwanamke akiwa na Nguo tu

Kumbe uzuri wa mwanamke akiwa na Nguo tu

Asee nilikuwa nikiona yule totozi aliyejipiga mapicha ya utupu akiwa na nguo,najisemea moyoni,kuna watu wamebarikiwa.

Ila tangu nimwone akiwa mtupu,nimedharau mno!Hata havutii,kumbe nilimkosea tu Mungu kutamani vitu vya hovyo.

Yaani nimeona mpenzi wangu ni mara elfu kwa mvuto akiwa utupu,kuliko huyo niliyemuona mzuri akiwa na Nguo.

Yaani nyie wanawake mjue,uzuri wenu huonekana ukiwa na Nguo tu.Ndio maana ukivuliwa nguo mara moja mtu anakudharau.

Hasa ninyi mnaojiona wazuri,mkionesha utupu,hata wanaoonekana wabaya wanawazidi sana.

Jiangalieni sana
ungetupiemo kapicha bas mkuu na sisi wa free basics tuone
 
Back
Top Bottom