Kumbe Vanessa Mdee ni Mwanasheria by Professional?

nilikuwa nae hicho chuo pale karen hakumaliza hiyo degree mwaka wa 2 alisepa akapata kazi. mtv base marekani km miaka 3 na aliporudi. bongo ndio mara clouds mara kaanza kuimba......
Ndiyo maana kwa tunaojua kidogo kuisoma hii lugha tulipoona tu wameandika "Mdee attended university at the Catholic University of Eastern Africa to pursue a Law degree." tukajua hajamaliza chuo hata bila ya kuambiwa.

Aliyemaliza Chuo atakwambia ame graduate mwaka gani, ukishaona habari za "attended"na "pursued" unajua tu huyu alipita chuoni lakini hajamaliza.

Kitu ambacho si kibaya (hata Mark Zuckerberg hakumaliza, kapewa honorary degree mwaka huu Harvard,alikuwa na mingo mingi ya kuanzisha Facebook).

Lakini tuambizane kama mwanasheria labda alipita bar exams bila kumaliza chuo.

Mana uanasheria unawezekana kwa njia nyingi,ila kwa chuo kwa maelezo hayo hajamaliza.
 
Huyu binti kanyimwa urefu na chura tu... Hakika hupewi vyote.
 
Mleta mada usiconclude kwamba huyu Vanessa ni Mwanasheria..

Hapo imesemwa alijiunga hiyo.. University to PURSUE bachelor of Law..

Swali.. Did she GRADUATE??

To pursue and to graduate ni vitu viwili tofauti..!!

Kajipange na Vanessa wako mje upya.
 
Namjua Vanesa tangu anaanza anza kutokea kwenye game ila ukweli heshima niliyokuwa nampa sio nayompa Leo nimeona kama ni mtu ambaye hakupaswa kufanya anachofanya alipaswa kuwa kwenye forum kubwa zaidi ya anayofanya nachukia sana
Unapo muona mwenzako anapotea basi wapaswa kumpa ushauri so Fanya hvyo aisee.
 

hivi unawezaje kujua nyota yako?
 
wamesema ame pursue a law degree.

Kama ku pursue hata uki disco bado mwanasheria basi wapo wengi sana wanasheria wa hivyo.
Right. Lakini mwisho wa siku, ili uwe wakili ama hakimu, ni lazima kusoma Law school ili uweze kuruhusiwa ku-practice sheria nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…