uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Niunganishe nae mkuu "nimshauri"Unapo muona mwenzako anapotea basi wapaswa kumpa ushauri so Fanya hvyo aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niunganishe nae mkuu "nimshauri"Unapo muona mwenzako anapotea basi wapaswa kumpa ushauri so Fanya hvyo aisee.
Sio mimi nimeweka mkuu...Mods labda ndio style yao hiimkuu hako ka tiki ka verified user rangi ya kijani hakavutii kangekuwa kekundu ama zambarau
Mkuu wa wilaya ya Kibiti
Kwa msingi huo, Vanessa Mdee ni mwanasheria au si Mwanasheria?Right. Lakini mwisho wa siku, ili uwe wakili ama hakimu, ni lazima kusoma Law school ili uweze kuruhusiwa ku-practice sheria nchini.
Wivu huoUnajua kusoma lakini? Wapi wameandika ni "mwanasheria"??
Kwaiyo kua na Law Degree ndo unakua "mwanasheria" sio?.
N.b ila hajazaliwa 1988 yule mbona kakomaa ivo...yani uyo atakua kazaliwa late 70's.
Mana kakomaa sana...si wanasema kwao "maisha bora" sasa ingekua shida tungesema kakomaa kwajili ya shida.
..we kweli samvu!Mamong'oo buanah, wanavyosifia kwao utadhani mbinguni. Wakati wasanii wao wote wako Dar...
Right. Lakini mwisho wa siku, ili uwe wakili ama hakimu, ni lazima kusoma Law school ili uweze kuruhusiwa ku-practice sheria nchini.
Mke wa JuksiVanessa mdee ndiyo nani, weka Picha yake utoe na Maelezo vizuri
WIVU mbaya nduguNamjua Vanesa tangu anaanza anza kutokea kwenye game ila ukweli heshima niliyokuwa nampa sio nayompa Leo nimeona kama ni mtu ambaye hakupaswa kufanya anachofanya alipaswa kuwa kwenye forum kubwa zaidi ya anayofanya nachukia sana