Kumbe Vanessa Mdee ni Mwanasheria by Professional?

Kumbe Vanessa Mdee ni Mwanasheria by Professional?

Kuzaliwa Arusha ni bahati, na ukitoka Arusha huwezi shindwa maisha mahali, ni sehemu inayojifunza kujitegemea ukiwa na umri mdogo, ukija Arusha kutoka mikoani lazima ule rambirambi maana kutafuta unakuwa hujafunzwa.
 
Unajua kusoma lakini? Wapi wameandika ni "mwanasheria"??
Kwaiyo kua na Law Degree ndo unakua "mwanasheria" sio?.

N.b ila hajazaliwa 1988 yule mbona kakomaa ivo...yani uyo atakua kazaliwa late 70's.
Mana kakomaa sana...si wanasema kwao "maisha bora" sasa ingekua shida tungesema kakomaa kwajili ya shida.
 
Right. Lakini mwisho wa siku, ili uwe wakili ama hakimu, ni lazima kusoma Law school ili uweze kuruhusiwa ku-practice sheria nchini.
Kwa msingi huo, Vanessa Mdee ni mwanasheria au si Mwanasheria?
 
Mamong'oo buanah, wanavyosifia kwao utadhani mbinguni. Wakati wasanii wao wote wako Dar...
 
Unajua kusoma lakini? Wapi wameandika ni "mwanasheria"??
Kwaiyo kua na Law Degree ndo unakua "mwanasheria" sio?.

N.b ila hajazaliwa 1988 yule mbona kakomaa ivo...yani uyo atakua kazaliwa late 70's.
Mana kakomaa sana...si wanasema kwao "maisha bora" sasa ingekua shida tungesema kakomaa kwajili ya shida.
Wivu huo
 
Namjua Vanesa tangu anaanza anza kutokea kwenye game ila ukweli heshima niliyokuwa nampa sio nayompa Leo nimeona kama ni mtu ambaye hakupaswa kufanya anachofanya alipaswa kuwa kwenye forum kubwa zaidi ya anayofanya nachukia sana
WIVU mbaya ndugu
 
Back
Top Bottom