mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,216
- 3,319
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ile ni nchi inayojitegemea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ile ni nchi inayojitegemea
actually you are totally wrongThumb up
Aursha Moshi the nice place ever in Tanzania
I stand to be corrected
Ndiyo maana kwa tunaojua kidogo kuisoma hii lugha tulipoona tu wameandika "Mdee attended university at the Catholic University of Eastern Africa to pursue a Law degree." tukajua hajamaliza chuo hata bila ya kuambiwa.nilikuwa nae hicho chuo pale karen hakumaliza hiyo degree mwaka wa 2 alisepa akapata kazi. mtv base marekani km miaka 3 na aliporudi. bongo ndio mara clouds mara kaanza kuimba......
Huu ukweli watu wengi hawaupendi..Arusha& moshi ndiyo nchi ya ahadi wana wa Tanzania inabidi wasafiri wafike kula maziwa na asali
Maleria imepanda kichwani..Mimi hapa Arusha namiliki gari na ninaliyegemea sana, ndiyo maana nahofu mbunge wetu kukosa kura.
Hapana baba sio mimi
Really mkuu!!!tarehe ngapi aiseeh niongeze list!Add me in the list
Watoto wangu wamezaliwa mwezi huu, ngoja nianze kutunza kumbukumbu je watakuwaje?Add me in the list
Ilikuwa janaWatoto wangu wamezaliwa mwezi huu, ngoja nianze kutunza kumbukumbu je watakuwaje?
Vanessa Samuel Gauri LugendoVanessa mdee ndiyo nani, weka Picha yake utoe na Maelezo vizuri
Unapo muona mwenzako anapotea basi wapaswa kumpa ushauri so Fanya hvyo aisee.Namjua Vanesa tangu anaanza anza kutokea kwenye game ila ukweli heshima niliyokuwa nampa sio nayompa Leo nimeona kama ni mtu ambaye hakupaswa kufanya anachofanya alipaswa kuwa kwenye forum kubwa zaidi ya anayofanya nachukia sana
Early life and Education[edit]
Vanessa Mdee was born on 7 June 1988, in Arusha, the third-largest city in Tanzania; located in Northern Tanzania. Mdee became familiar with various cultures after growing up in New York, Paris, Nairobi and Arusha. She obtained her secondary and high level education at Arusha Modern High School. Mdee attended university at the Catholic University of Eastern Africa to pursue a Law degree. Mdee quickly became familiar with many different forms of creative and performing arts.
SOURCE : WIKIPEDIA
* Halafu nyota yake ni Mapacha. Watu wa nyota ya mapacha wanafanya vizuri sana kwenye masuala ya entertainment na media... Mifano yao ni kama vile : Tupac Shakur, Biggie Smalls, Kanye West, Naomi Campbell, Reginald Mengi, Donald Trump, Ney wa Mitego, Lady Jay Dee, TID nakadhalika..... Gemini Baby
Right. Lakini mwisho wa siku, ili uwe wakili ama hakimu, ni lazima kusoma Law school ili uweze kuruhusiwa ku-practice sheria nchini.wamesema ame pursue a law degree.
Kama ku pursue hata uki disco bado mwanasheria basi wapo wengi sana wanasheria wa hivyo.
noma noma... tumetisha hatari ChakoriiHuhuhuuuuuuuu...2nd June,4thJune,7thJune tunarun the world.asante Bwana Yesu
Cc: Junior. Cux
Cc: Chakorii
Cc: emmyta
Na wengine waliozaliwa mwezi June
mkuu hako ka tiki ka verified user rangi ya kijani hakavutii kangekuwa kekundu ama zambarauFresh tu hamna shida..