Kumbe Vanessa Mdee ni Mwanasheria by Professional?

Kumbe Vanessa Mdee ni Mwanasheria by Professional?

People's of United Republic of Arusha.. Godbless Lema the king head of state....

Lema ndio king??..huyu huyu lema anayewekwa selo kama bata na kulishwa maharage mabovu na Gambo? Sasa Huyu ndio king and head of state?
 
Hicho chuo alichosoma (Catholic University of East Africa) kiko wapi hapa Afrika Mashariki?
 
wamesema ame pursue a law degree.

Kama ku pursue hata uki disco bado mwanasheria basi wapo wengi sana wanasheria wa hivyo.
 
Mimi hapa Arusha namiliki gari na ninaliyegemea sana, ndiyo maana nahofu mbunge wetu kukosa kura.
 
Kuna nyimbo kafanya na major laizer we are waiting for it...
 
Pia anapenda dawa za kulevya na ana ugonjwa wa sickle cell.Aidha ana sauti tamu ya mvuto na umbo laini la kimahaba.
 
Back
Top Bottom