Vipi kama aliyemuweka madarakani huyo kiongozi siyo Mungu bali kawekwa na upande wa pili kupitia mikono ya kikundi fulani cha watu?.Hayo maombi yatafanya kazi?.Maana nilijualo ni kweli kila 'mamlaka' imewekwa na Mungu lakini 'wenye mamlaka' hata shetani hupenyeza wa kwake.1 TIMOTHEO 2
Mafundisho kuhusu sala
1Kwanza kabisa, nawasihi muombe dua, msali na kumshukuru Mungu kwa ajili ya watu wote, 2kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, ili tupate kuishi maisha ya utulivu na amani pamoja na uchaji wa Mungu na mwenendo mwema. 3Jambo hili ni jema na lampendeza Mungu Mwokozi wetu, 4ambaye anataka watu wote waokolewe na wapate kuujua ukweli.
Maana yake unaijua lakini?1 TIMOTHEO 2
Mafundisho kuhusu sala
1Kwanza kabisa, nawasihi muombe dua, msali na kumshukuru Mungu kwa ajili ya watu wote, 2kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, ili tupate kuishi maisha ya utulivu na amani pamoja na uchaji wa Mungu na mwenendo mwema. 3Jambo hili ni jema na lampendeza Mungu Mwokozi wetu, 4ambaye anataka watu wote waokolewe na wapate kuujua ukweli.
Kazi kweli kweli.Shetani nae hayupo nyuma kuweka watu wake madarakani.Maana yake unaijua lakini?
Ni kwamba hiyo mistari ya mwisho inabeba uzito.Hiyo ndio motive ya Mungu,kuwe na amani ili ibada kwake ifanyike,watu wahubiriwe kumjua.Hiyo ndio sababu mfalme anaombewa yeye na ufalme wake.So kama anakiuka sababu za yeye kuombewa,you know what it means..hizo sala zinageuka kuwa tatizo kwake.Sisi tutasali kubariki ila Mungu atahakikisha aliyeko madarakani ni yule anayestahili sala zetu na baraka zake!
Ni kweli dini zina shida ila Ukristo nimepekua weeee sijaona shida yake.Tatizo dini haziruhusu kutumia akili umewahi kujiuliza kwa nini uenezaji wa dini ulienda sambamba na juhudi za kuleta ukoloni?
Kila mtu kwenye dini anayoiamini aoni mapungufu yakeNi kweli dini zina shida ila Ukristo nimepekua weeee sijaona shida yake.
Ukiona dini inafunga utashi wako aisee nakushauri kaa na hiyo dini mbali sana.Yaani Mungu akupe utashi halafu eti kirahisi tu mtu na dini yake aje kufunga kufikiri kwako.Tatizo dini haziruhusu kutumia akili umewahi kujiuliza kwa nini uenezaji wa dini ulienda sambamba na juhudi za kuleta ukoloni?
Taifa likiwa na waomba Mungu wa kweli,hiyo satanic network haipati nafasi,na kama tayari ina nafasi itaanguka.Kazi kweli kweli.Shetani nae hayupo nyuma kuweka watu wake madarakani.
Mimi ni Mkristo nisiye na dhehebu na nipo huru kumuhoji Mungu chochote wakati wowote na huwa ananijibu hadi naridhika.Hakuna wa kufunga kufikiri na kuhoji ndani yangu.Nimegundua dini na ukristo ni ardhi na mbingu.Kila mtu kwenye dini anayoiamini aoni mapungufu yake
Uko sahihi wala sipingani na wewe lakini njia zetu za kupata viongozi zinamfavour zaidi shetani kupenyeza watu wake kuliko Mungu hivyo tunajikuta tunaishi maisha ya mbwa kuukimbiza mkia wake kila awamu.Taifa likiwa na waomba Mungu wa kweli,hiyo satanic network haipati nafasi,na kama tayari ina nafasi itaanguka.
Ndio maana kunapotokea mfalme mkorofi mwenye kuumiza sana watu,wakimkumbuka Mungu na kulia sana,lazima taifa linaingia kwenye mambo ambayo hayajafikiriwa wala kupangiliwa,sababu Mungu anakuwa kazini kuokoa watu.
Nadhani hata sisi tupo katika stage hiyo.Vilio ni vingi na wakorofi wamepewa nafasi waonyeshe ukorofi wao vizuri ili wakipigwa kofi liwe kofi kweli kweli na yoyote asiwatetee.Ionekane ni haki kwa yatakayowakuta.
Kuna mkono unanyanyuliwa huko juu,tunaoona jicho la tatu tumeanza kufumba macho huku roho zikidunda.Shuhudia the next two years,utanikumbuka.
Ndiyo Ukweli WenyeweKila mtu kwenye dini anayoiamini aoni mapungufu yake
Husikiagi kwa Gwajima akiwaombea? Mbona hufanya hivyo Mara kwa mara.1 TIMOTHEO 2
Mafundisho kuhusu sala
1Kwanza kabisa, nawasihi muombe dua, msali na kumshukuru Mungu kwa ajili ya watu wote, 2kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, ili tupate kuishi maisha ya utulivu na amani pamoja na uchaji wa Mungu na mwenendo mwema. 3Jambo hili ni jema na lampendeza Mungu Mwokozi wetu, 4ambaye anataka watu wote waokolewe na wapate kuujua ukweli.
Kwa andiko lipi linakataza kuwaonya hadharani? Ulisoma habari za Eliya na mfalme Ahabu?Ndivyo ilivyo , ukiwa kiongozi Wa dini kazi yako ni kuwaombea Wafalme lakini pia kuombea nchi ili MUNGU asamehe uovu, lakini pia wameamriwa kutii mamlaka, hivyo basi Mkuu Wa nchi akikosea wanatakiwa kumfuata na kumwambia makosa take ili arekebishe na sio kupingana nao hadharani.
Rafiki,kila kitu kwa wakati wake.Uko sahihi wala sipingani na wewe lakini njia zetu za kupata viongozi zinamfavour zaidi shetani kupenyeza watu wake kuliko Mungu hivyo tunajikuta tunaishi maisha ya mbwa kuukimbiza mkia wake kila awamu.
Hao wema wako sensitive kujua kwamba wanatakiwa wasimame kwenye zamu zao kwa kiwango gani?.Rafiki,kila kitu kwa wakati wake.
The history of this nation is written by those who fulfil their heavenly purpose,not the evil men who are busy trying to replace them.
Huwezi kureplce betri kwa jiwe halafu saa iendelee kuzunguka.
Pale kila mwema wa taifa hili atakaposimama katika zamu yake,then hao unaowahofia hawatakuwa na la kufanya.
Na tayari mimi naziona dalili.
Now ndimi za watu wetu wengi zinahoji mambo ambayo hayakuhojiwa huko nyuma,na wale mashetani wameanza kuicheza ngoma ambayo hawajui mdundo wake unatokea wapi.
Usihofu,usiumie,just relax,watch and learn..enjoy the coming show!
Mambo makubwa huanza taratibu.Na mwenye mali yake huichukua taratibu bila hofu,lakini ni mwizi mwenye haraka za kunyata na kuiba kitu haraka bila kuonekana!Sijui umenielewa mkuu?!
Jiulize sana swali hili wewe mwenyewe maana kwa uandishi wako inaonekana ni mmoja wa hao wema wanaoitakia mema nchi hii.Hao wema wako sensitive kujua kwamba wanatakiwa wasimame kwenye zamu zao kwa kiwango gani?.
Hahahaaaaa utafanya watu wazirai ndugu.Jiulize sana swali hili wewe mwenyewe maana kwa uandishi wako inaonekana ni mmoja wa hao wema wanaoitakia mema nchi hii.
Mimi binafsi ukiniuliza ntakujibu tuu tupo tunauzunguka ukuta wa Yeriko hapa,tumeambiwa mwakani ndio malaika wanapuliza trumpet.[emoji4]