Kumbe vita vyote Palestina tatizo ni kugunduliwa kwa gas hapo Gaza

badison

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2015
Posts
1,450
Reaction score
2,761
Imefahamika Kwamba Gaza kumefanyika ugunduzi wa gesi. Kwasababu gas imegunduliwa kuwa na thamani ya USD Billion 500 lazima wazungu waingilie kati na kuwadhulumu wapalestina gesi yao.

Popote kwenye mali hapakosi wazungu kuleta demokrasia. Popote kwenye mali asilia lazima wazungu waingilie kwa kigezo cha magaidi. Wazungu hawana baraka ndiyo maana Nchi zao hazina cha maana zaidi ya kuiba mali asili za nchi za watu kwa njia ya dhulma.
 
Attachments

  • Screenshot_2023-11-12-19-18-16-227_com.twitter.android.jpg
    Screenshot_2023-11-12-19-18-16-227_com.twitter.android.jpg
    194.9 KB · Views: 3
Imefahamika Kwamba Gaza kumefanyika ugunduzi wa gesi. Kwasababu gas imegunduliwa kuwa na thamani ya USD Billion 500 lazima wazungu waingilie kati na kuwadhulumu wapalestina gesi yao.

Popote kwenye mali hapakosi wazungu kuleta demokrasia. Popote kwenye mali asilia lazima wazungu waingilie kwa kigezo cha magaidi. Wazungu hawana baraka ndiyo maana Nchi zao hazina cha maana zaidi ya kuiba mali asili za nchi za watu kwa njia ya dhulma.
Kwa hiyo Wazungu ndiyo waliwaambia HAMAS wakaanzishe timbwili kwa Israel?

Nao wakakubali?

Basi HAMAS ni wapumbavu. Hawajielewi, acha wapigwe mbwa hao.
 
"Nchi zao hazina baraka"! Akili na maarifa ya kutawala mazingira na kuitiisha dunia ndio baraka kuu kuzidi baraka zote.
 
Kwa hiyo Wazungu ndiyo waliwaambia HAMAS wakaanzishe timbwili kwa Israel?

Nao wakakubali?

Basi HAMAS ni wapumbavu. Hawajielewi, acha wapigwe mbwa hao.
Somo kubwa hili kwako kulielewa,wazungu waone hivohivo wanajifanya kutowa misaada kwani, Congo kuna Hamasi kule nenda Antwerp uone namna hao wayahudi wanavouza Diamond na Tanzanight utafikiri wanatowa nchini kwao. Wapo Syria Iraq kote huko wanafanya nini ...kwa bahati mbaya waafrika wanaemjuwa mzungu ni wale wa South Africa, na West Africa zile nchi zinazongea French, na wanaoish Europe au America..ningeshauli nyinyi wa nyumbani topics kama hizi mngekuwa wasomaji tu.
 
Imefahamika Kwamba Gaza kumefanyika ugunduzi wa gesi. Kwasababu gas imegunduliwa kuwa na thamani ya USD Billion 500 lazima wazungu waingilie kati na kuwadhulumu wapalestina gesi yao.

Popote kwenye mali hapakosi wazungu kuleta demokrasia. Popote kwenye mali asilia lazima wazungu waingilie kwa kigezo cha magaidi. Wazungu hawana baraka ndiyo maana Nchi zao hazina cha maana zaidi ya kuiba mali asili za nchi za watu kwa njia ya dhulma.
Ujinga ni mzigo mzito sana .
Walipogundua gesi wakapata ikawatuma wakaue watu kwenye nchi yao siyo. Hovyo.
 
Imefahamika Kwamba Gaza kumefanyika ugunduzi wa gesi. Kwasababu gas imegunduliwa kuwa na thamani ya USD Billion 500 lazima wazungu waingilie kati na kuwadhulumu wapalestina gesi yao.

Popote kwenye mali hapakosi wazungu kuleta demokrasia. Popote kwenye mali asilia lazima wazungu waingilie kwa kigezo cha magaidi. Wazungu hawana baraka ndiyo maana Nchi zao hazina cha maana zaidi ya kuiba mali asili za nchi za watu kwa njia ya dhulma.
Hakuna kitu kama hicho, mjifunze kuheshimu jamii zingine, kwa hiyo mateka wameshikiliwa na nani? Jaribu kuficha ujinga wako, na Israel ameapa kuitokomeza Gaza kaskazini endapo mateka hawataachiwa, hata kikao Cha Arab summit wametofautina baada ya kushauliana kwamba wamuwekee USA vikwazi vya mafuta, lakini nchi nyingi za kiarabu zimekata
 
Kwa hiyo Wazungu ndiyo waliwaambia HAMAS wakaanzishe timbwili kwa Israel?

Nao wakakubali?

Basi HAMAS ni wapumbavu. Hawajielewi, acha wapigwe mbwa hao.
Hamas ni control oposition ni kundi kama Isis au Islamic state wao wenyewe wazayuni na wazungu ndio walianzisha hamas. Alafu Hamas siyo Palestina
 
Madhara ya kusoma madrasa na kuacha elimu dunia. Bure kabisa.
Duh Mkuu unadharau sana aisee watu kama nyie mnakuwaga pupets ambao hamna nafsi wala upendo kwa wanadamu
 
Hakuna kitu kama hicho, mjifunze kuheshimu jamii zingine, kwa hiyo mateka wameshikiliwa na nani? Jaribu kuficha ujinga wako, na Israel ameapa kuitokomeza Gaza kaskazini endapo mateka hawataachiwa, hata kikao Cha Arab summit wametofautina baada ya kushauliana kwamba wamuwekee USA vikwazi vya mafuta, lakini nchi nyingi za kiarabu zimekata
Dah aisee chuki iliyopo kwenye roho yako ni next level
 
Kwa hiyo Wazungu ndiyo waliwaambia HAMAS wakaanzishe timbwili kwa Israel?

Nao wakakubali?

Basi HAMAS ni wapumbavu. Hawajielewi, acha wapigwe mbwa hao.
Kwa hiyo Wazungu ndiyo waliwaambia HAMAS wakaanzishe timbwili kwa Israel?

Nao wakakubali?

Basi HAMAS ni wapumbavu. Hawajielewi, acha wapigwe mbwa hao.
Dogo huwezi kuelewa kigu kama una akili ndogo, hiyo gesi imegundulika siku nyingi ila Israel na kakayake USA walikuwa wanatafuta sababu ya kuikalia Gaza. Inaonekana kama Hamasi aliwekewa mtego ajichanganye wao wafanye yao na ndio maana tukio lililotokea faster USA akapeleka mimeri yake na silaha na wanajeshi kibao kukamilisha mipango. Na siri imevuja ya kuwa wale waliouwawa kwenye part, waliuwawa na jeshi la Israel ili wapate sapoti ya dunia kuingia vita na Hamasi. Israel na USA hawakutegemea upinzani watakaoupata kutoka kwa Hamasi na jinsi dunia ilivyo respond.
 
Wenzetu Mungu kawanyima ufahamu kwa kiasi kikubwa sana,au huwa mnajipendea tu,kwahiyo na mateka 200 ni Israel amewaficha telaviv?
 
Back
Top Bottom