Kwa hiyo Wazungu ndiyo waliwaambia HAMAS wakaanzishe timbwili kwa Israel?Imefahamika Kwamba Gaza kumefanyika ugunduzi wa gesi. Kwasababu gas imegunduliwa kuwa na thamani ya USD Billion 500 lazima wazungu waingilie kati na kuwadhulumu wapalestina gesi yao.
Popote kwenye mali hapakosi wazungu kuleta demokrasia. Popote kwenye mali asilia lazima wazungu waingilie kwa kigezo cha magaidi. Wazungu hawana baraka ndiyo maana Nchi zao hazina cha maana zaidi ya kuiba mali asili za nchi za watu kwa njia ya dhulma.
Somo kubwa hili kwako kulielewa,wazungu waone hivohivo wanajifanya kutowa misaada kwani, Congo kuna Hamasi kule nenda Antwerp uone namna hao wayahudi wanavouza Diamond na Tanzanight utafikiri wanatowa nchini kwao. Wapo Syria Iraq kote huko wanafanya nini ...kwa bahati mbaya waafrika wanaemjuwa mzungu ni wale wa South Africa, na West Africa zile nchi zinazongea French, na wanaoish Europe au America..ningeshauli nyinyi wa nyumbani topics kama hizi mngekuwa wasomaji tu.Kwa hiyo Wazungu ndiyo waliwaambia HAMAS wakaanzishe timbwili kwa Israel?
Nao wakakubali?
Basi HAMAS ni wapumbavu. Hawajielewi, acha wapigwe mbwa hao.
Ujinga ni mzigo mzito sana .Imefahamika Kwamba Gaza kumefanyika ugunduzi wa gesi. Kwasababu gas imegunduliwa kuwa na thamani ya USD Billion 500 lazima wazungu waingilie kati na kuwadhulumu wapalestina gesi yao.
Popote kwenye mali hapakosi wazungu kuleta demokrasia. Popote kwenye mali asilia lazima wazungu waingilie kwa kigezo cha magaidi. Wazungu hawana baraka ndiyo maana Nchi zao hazina cha maana zaidi ya kuiba mali asili za nchi za watu kwa njia ya dhulma.
Hakuna kitu kama hicho, mjifunze kuheshimu jamii zingine, kwa hiyo mateka wameshikiliwa na nani? Jaribu kuficha ujinga wako, na Israel ameapa kuitokomeza Gaza kaskazini endapo mateka hawataachiwa, hata kikao Cha Arab summit wametofautina baada ya kushauliana kwamba wamuwekee USA vikwazi vya mafuta, lakini nchi nyingi za kiarabu zimekataImefahamika Kwamba Gaza kumefanyika ugunduzi wa gesi. Kwasababu gas imegunduliwa kuwa na thamani ya USD Billion 500 lazima wazungu waingilie kati na kuwadhulumu wapalestina gesi yao.
Popote kwenye mali hapakosi wazungu kuleta demokrasia. Popote kwenye mali asilia lazima wazungu waingilie kwa kigezo cha magaidi. Wazungu hawana baraka ndiyo maana Nchi zao hazina cha maana zaidi ya kuiba mali asili za nchi za watu kwa njia ya dhulma.
Hamas ni control oposition ni kundi kama Isis au Islamic state wao wenyewe wazayuni na wazungu ndio walianzisha hamas. Alafu Hamas siyo PalestinaKwa hiyo Wazungu ndiyo waliwaambia HAMAS wakaanzishe timbwili kwa Israel?
Nao wakakubali?
Basi HAMAS ni wapumbavu. Hawajielewi, acha wapigwe mbwa hao.
Dah aisee chuki iliyopo kwenye roho yako ni next levelHakuna kitu kama hicho, mjifunze kuheshimu jamii zingine, kwa hiyo mateka wameshikiliwa na nani? Jaribu kuficha ujinga wako, na Israel ameapa kuitokomeza Gaza kaskazini endapo mateka hawataachiwa, hata kikao Cha Arab summit wametofautina baada ya kushauliana kwamba wamuwekee USA vikwazi vya mafuta, lakini nchi nyingi za kiarabu zimekata
Pana maslahi ya wengi sana.Kwahiyo hao hamas walitumwa na wazungu waanzishe vita na Israel sio?
Kwa hiyo Wazungu ndiyo waliwaambia HAMAS wakaanzishe timbwili kwa Israel?
Nao wakakubali?
Basi HAMAS ni wapumbavu. Hawajielewi, acha wapigwe mbwa hao.
Dogo huwezi kuelewa kigu kama una akili ndogo, hiyo gesi imegundulika siku nyingi ila Israel na kakayake USA walikuwa wanatafuta sababu ya kuikalia Gaza. Inaonekana kama Hamasi aliwekewa mtego ajichanganye wao wafanye yao na ndio maana tukio lililotokea faster USA akapeleka mimeri yake na silaha na wanajeshi kibao kukamilisha mipango. Na siri imevuja ya kuwa wale waliouwawa kwenye part, waliuwawa na jeshi la Israel ili wapate sapoti ya dunia kuingia vita na Hamasi. Israel na USA hawakutegemea upinzani watakaoupata kutoka kwa Hamasi na jinsi dunia ilivyo respond.Kwa hiyo Wazungu ndiyo waliwaambia HAMAS wakaanzishe timbwili kwa Israel?
Nao wakakubali?
Basi HAMAS ni wapumbavu. Hawajielewi, acha wapigwe mbwa hao.
Wenzetu Mungu kawanyima ufahamu kwa kiasi kikubwa sana,au huwa mnajipendea tu,kwahiyo na mateka 200 ni Israel amewaficha telaviv?Dogo huwezi kuelewa kigu kama una akili ndogo, hiyo gesi imegundulika siku nyingi ila Israel na kakayake USA walikuwa wanatafuta sababu ya kuikalia Gaza. Inaonekana kama Hamasi aliwekewa mtego ajichanganye wao wafanye yao na ndio maana tukio lililotokea faster USA akapeleka mimeri yake na silaha na wanajeshi kibao kukamilisha mipango. Na siri imevuja ya kuwa wale waliouwawa kwenye part, waliuwawa na jeshi la Israel ili wapate sapoti ya dunia kuingia vita na Hamasi. Israel na USA hawakutegemea upinzani watakaoupata kutoka kwa Hamasi na jinsi dunia ilivyo respond.