Kumbe Waarabu walikuwa watu wabaya kiasi hiki, yadumu mapinduzi matukufu ya Zanzibar

Kumbe Waarabu walikuwa watu wabaya kiasi hiki, yadumu mapinduzi matukufu ya Zanzibar

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
FB_IMG_16636884660251878.jpg

FB_IMG_16636884700668639.jpg
FB_IMG_16636884735059396.jpg

Zanzibar, Tanzania šŸ‡¹šŸ‡æ 1907

A British sailor removes the leg chains off an enslaved African man who had worn them for three years, 1907. ⁣
⁣
The photos were taken by Joseph Chidwick who was serving aboard the HMS Sphinx at the time. The men shown in the photos had escaped from a slave-trading post off the coast of Oman when they heard the Royal Navy was nearby. ⁣
⁣
Chidwick's son, Samuel, donated these photos to the Royal Navy Museum in 2007. He had this to say: ⁣
⁣
"The pictures were taken by my father who was serving aboard HMS Sphinx while on armed patrol off the Zanzibar and Mozambique coast in about 1907. They caught quite a few slavers and those particular slaves that are in the pictures happened while he was on watch. That night a dhow (sailing vessel) sailed by and the slaves were all chained together. He raised the alarm and they got them on to the ship and got the chains knocked off them.

They then questioned them and sent a party of marines ashore to try to track the slave traders down. They caught two of them and I believe they were of Arabic origin. My father thought the slave trade was a despicable thing that was going on, the slaves were treated very badly so when they got the slavers they didn’t give them a very nice timeā€. ⁣
 
Wakoloni wote WaOmani, Waingereza, Portuguese, WaJeremani n.k wote walikuwa watesi wetu kwa namna zote.

Samora Machel : Ukoloni wa kiFikra

Katika hotuba yake motomoto kuhusu kutawaliwa, alihoji vipi mwafrika aliyetawaliwa na mfaransa akajiona m-bora kuliko mwingine kwa kuwa Ufaransa wana tamaduni bora zaidi ya uandishi wa mistari ya mashairi ya mapendo kwa umahiri wa kisomi.

Samora Machel anazidi kuwaza hata wale waliotawaliwa na muingereza wajiona wao ni bora kwa vile Uingereza ilitawala nchi nyingi zaidi na inasemekana ni wazungu 'wastaarabu' zaidi.

Samora Machel anatuasa ingawa Portugal ni nchi masikini zaidi ktk ulaya lakini ni nchi iliyoendekeza ukoloni kama Ufaransa, Uingereza na Ureno / Portugal na sifa za nchi zote hizo za ulaya ni kuwa ziliendekeza ukoloni.

Samora Machel anapigia mstari neno ukoloni na kuwa ukoloni ni unyama hauna utu hivyo kujisifia wewe ni zao la ukoloni huu au ule wenye hadhi ya juu ni kukosa fikra sahihi.

Hivyo maneno ya Samora Machel anasisitiza tuamke na kuwa mapambano lazima yaendelee (2022) dhidi ya ukabila, ujinga, maradhi, njaa, ushirikina na mawazo potofu ya kukumbatia ukoloni wa aina yoyote.

Samora Machel anakumbushia kuwa Mozambique walipambana na ukoloni mkongwe wa miaka 500 uliokuwapo Mozambique, na kama kawaida pamoja na umasikini wa taifa la Portugal barani ulaya,lakini walikuwa wakoloni kama wakoloni wengine. Nchi za France, Uingereza, Holland, Germany, Portugal, Italy zote zilikuwa na makoloni. Mataifa mengine kama Oman n.k pia yalikuwa na makoloni yake kule Persia, Pakistan, Emirates, Congo, Burundi, Somalia, Kenya, Tanganyika, Zanzibar, Mozambique .

Anamalizia kuwa ukoloni wowote hauna usafi wa kujivunia kwani ni Ukoloni unaogandamiza jamii zingine na kuzigawanisha.
 
Wakoloni wote WaOmani, Waingereza, Portuguese, WaJeremani n.k wote walikuwa watesi wetu kwa namna zote.

Samora Machel : Ukoloni wa kiFikra

Katika hotuba yake motomoto kuhusu kutawaliwa, alihoji vipi mwafrika aliyetawaliwa na mfaransa akajiona bora kuliko mwingine kwa kuwa Ufaransa wana tamaduni bora zaidi ya uandishi wa mistari ya mashairi ya mapendo kwa umahiri wa kisomi.

Samoro Machel anazidi kuwaza hata wale waliotawaliwa na muingereza wajiona wao ni bora kwa vile Uingereza ilitawala nchi nyingi zaidi na inasemekana ni wazungu 'wastaarabu' zaidi.

Samora Machel anatuasa ingawa Portugal ni nchi masikini zaidi ktk ulaya lakini ni nchi iliyoendekeza ukoloni kama Ufaransa, Uingereza na Ureno / Portugal na sifa za nchi zote hizo za ulaya ni kuwa ziliendekeza ukoloni.

Samora Machel anapigia mstari neno ukoloni na kuwa ukoloni ni unyama hauna utu hivyo kujisifia wewe ni zao la ukoloni huu au ule wenye hadhi ya juu ni kukosa fikra sahihi.

Hivyo maneno ya Samora Machel anasisitiza tuamke na kuwa mapambano lazima yaendelee (2022) dhidi ya ukabila, ujinga, maradhi, njaa, ushirikina na mawazo potofu ya kukumbatia ukoloni wa aina yoyote.

Anamalizia kuwa ukoloni wowote hauna usafi wa kujivunia kwani ni Ukoloni unaogandamiza jamii zingine na kuzigawanisha.

Sahihi kabisa
 
Hizi ni poropaganda na fitna tu. Waarabu hawakuwa na tatizo na waafrika. Walitupenda sana na tuliishi nao kwa amani na upendo. Hizi mnaleta ni chuki tu..hata mapinduzi ya zanzibar yalikuwa ni chuki tu dhidi ya waarabu. Mtapata laana kubwa kuwa singizia waarabu. Hawana baya kabisa na watu.
 
Msaga...
Nimerushiwa hayo hapo chini nisome nami naweka hapa kwa sote tufaidike:

"The Trans-Atlantic Slave Trade organized by the Portuguese had begun 1530.

In 1562 Sir John Hawkins started the English Slave Trade taking cargoes of slaves from West Africa to the new discovered Americas.

By early 1700's
The Bristol Merchant Venturers elipsed the London based Royal African Company as Britain's premier slaving Conglomerate.

In 1776 Oct 14
Mr. Maurice a French signs a contract with the Sultan of Kilwa Ibrahim Hassan for the purchase of 1000 slaves yearly.

In 1868 Jan 20 First Church in Tanganyika at Magila was built under Bishop Allington (UMCA)
1884 Nov 15
Berlin Conference.

Nov 23 German Flag at Mbuzini Bagamoyo.

* Kwa wale ambao Kitabu Chao Cha Rejea ni "UHURU wa Watumwa Cha James Mbotela."
Biasha ya Utumwa Ni ya Muarabu na Waislamu.

Mngereza ndio Mwema alie waokoa."

Nimekisoma "Uhuru wa Watumwa," shule ya msingi miaka ya mwanzoni 1960s.
 
Hizi ni poropaganda na fitna tu. Waarabu hawakuwa na tatizo na waafrika. Walitupenda sana na tuliishi nao kwa amani na upendo. Hizi mnaleta ni chuki tu..hata mapinduzi ya zanzibar yalikuwa ni chuki tu dhidi ya waarabu. Mtapata laana kubwa kuwa singizia waarabu. Hawana baya kabisa na watu.
Historia inaonyesha hata Kalifeti (The Umayyad Caliphate) lilianguka na kupoteza majimbo yake mengi barani Afrika kwasababu ya ubaguzi wa waarabu dhidi ya waafrika na weusi. Kibaya zaidi ni kwamba kiongozi wa kalifeti alijisifia kabisa kudhamini huu ubaguzi. Lakini, pia hii tabia imezuka ya kupenda kusema kwamba mwarabu hakumfanyia mtu mweusi jambo baya kisa dini, nadhani siyo ya kiungwana.

Waarabu, wakishirikiana na machifu wa kiafrika walihusika kwenye biashara ya utumwa lakini wengi wenu kwasababu za kidini huwa mnapenda kupindisha ukweli. Ushahidi wa kihistoria unaonyesha kwamba kuna mkataba wa kumaliza biashara ya utumwa uliosaniwa na dola la Zanzibar chini ya Sultan Bargash, na dola la Britania chini ya Malkia Victoria mnamo mwaka 1870, ambapo Bargash alikubali kufunga soko la watumwa Mkunazini.

Sasa wakuu, mnavyosema kwamba waarabu hawakufanya ubaguzi, wala biashara ya utumwa dhidi ya waafrika mnataka waungwana wawaelewaje labda?
 
Hizi ni poropaganda na fitna tu. Waarabu hawakuwa na tatizo na waafrika. Walitupenda sana na tuliishi nao kwa amani na upendo. Hizi mnaleta ni chuki tu..hata mapinduzi ya zanzibar yalikuwa ni chuki tu dhidi ya waarabu. Mtapata laana kubwa kuwa singizia waarabu. Hawana baya kabisa na watu.
Waarabu? Watu wenye hulka za ukatili mkuu pengine kuliko race nyingine haps duniani
 
Ubaya wa Mwarabu upo katika Uarabu wake ?

Utagundua kwamba fikra potovu, kutostaarabika na utamaduni wa ajabu kwa wakati husika unapelekea watu kufanya vitu vya ajabu (hata wewe unaweza ukawa unamchukia jirani yako kwamba ni mchawi au alimroga mama yako kumbe ni ukosefu wa elimu)....

Tunachukiana sababu tunaogopana,
Tunaogopana sababu hatujajuana,
Hatujuani sababu tunatengana,
Dunia ni nzuri walimwengu hawana Maana.
Kwahio na sisi tunaweza kuanza kuwachukia Waarabu wote, kuwatenga na kuwanyanyasa kwa mabaya ya Mababu zao ila Je vitukuu vyao havitatuona sisi tulikuwa watu wabaya kiasi hicho..... Tuwaonee Huruma sababu walikuwa hawajui watendalo... (ukichanganya na ulafi, uchoyo, na kujiona superior; kama wewe unavyoona ni haki kumtumikisha punda)
 
Waarabu? Watu wenye hulka za ukatili mkuu pengine kuliko race nyingine haps duniani
Mke wa waarabu huyo lazima awasife waume zake..sunajua shughuli ya kaka mwarabu sio mchezo.

Huwezi narudia huwezi mtenganisha muarabu na biashara ya utumwa...hao ndio walikua madalali wakubwa wa watumwa..miji yote ya ukanda wa pwani ilishamili enzi za ukoloni kwa sababu ya biashara ya utumwa mfano bagamoyo..kilwa..mikindani n.k baada ya biashara za utumwa kukomeswa miji yote ilikufa na kubaki maghofu tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Historia inaonyesha hata Kalifeti (The Umayyad Caliphate) lilianguka na kupoteza majimbo yake mengi barani Afrika kwasababu ya ubaguzi wa waarabu dhidi ya waafrika na weusi. Kibaya zaidi ni kwamba kiongozi wa kalifeti alijisifia kabisa kudhamini huu ubaguzi. Lakini, pia hii tabia imezuka ya kupenda kusema kwamba mwarabu hakumfanyia mtu mweusi jambo baya kisa dini, nadhani siyo ya kiungwana.

Waarabu, wakishirikiana na machifu wa kiafrika walihusika kwenye biashara ya utumwa lakini wengi wenu kwasababu za kidini huwa mnapenda kupindisha ukweli. Ushahidi wa kihistoria unaonyesha kwamba kuna mkataba wa kumaliza biashara ya utumwa uliosaniwa na dola la Zanzibar chini ya Sultan Bargash, na dila la Britania chini ya Malkia Victoria mnamo mwaka 1870, ambapo Bargash alikubali kufunga soko la watumwa Mkunazini.

Sasa wakuu, mnavyosema kwamba waarabu hawakufanya ubaguzi, wala biashara ya utumwa dhidi ya waafrika mnataka waungwana wawaelewaje labda ???
Chizi ameandika kwa dhihaka.
 
Naona mwarabu koko kutoka Al-Bahah amekutwa na jiwe la gizani.....
Ukweli huwa unauma sana lakini ndiyo huwezi kuubadilisha.....
Hujanielewa mkuu. Nilichomaanisha ni kuwa huyo uliyemnukuu (Chizi Maarifa) ameandika kwa dhihaka na kejeli.

Samahani sana kama nimekuoffend. Halikuwa lengo langu hilo. Wewe ni katika watu ninaowaheshimu sana humu hata kama hatukubaliani katika mengi.
 
Daaah, nisamehe sana mkuu wangu nilidhani umeniita mimi CHIZI....
Let's burry the hatchet na nimefuta ile kauli. Pamoja sana mkuu...
 
Hivyo maneno ya Samora Machel anasisitiza tuamke na kuwa mapambano lazima yaendelee (2022) dhidi ya ukabila, ujinga, maradhi, njaa, ushirikina na mawazo potofu ya kukumbatia ukoloni wa aina yoyote.
Nakazia mkuu
 
View attachment 2362847

View attachment 2362848View attachment 2362849
Zanzibar, Tanzania šŸ‡¹šŸ‡æ 1907

A British sailor removes the leg chains off an enslaved African man who had worn them for three years, 1907. ⁣
⁣
The photos were taken by Joseph Chidwick who was serving aboard the HMS Sphinx at the time. The men shown in the photos had escaped from a slave-trading post off the coast of Oman when they heard the Royal Navy was nearby. ⁣
⁣
Chidwick's son, Samuel, donated these photos to the Royal Navy Museum in 2007. He had this to say: ⁣
⁣
"The pictures were taken by my father who was serving aboard HMS Sphinx while on armed patrol off the Zanzibar and Mozambique coast in about 1907. They caught quite a few slavers and those particular slaves that are in the pictures happened while he was on watch. That night a dhow (sailing vessel) sailed by and the slaves were all chained together. He raised the alarm and they got them on to the ship and got the chains knocked off them. They then questioned them and sent a party of marines ashore to try to track the slave traders down. They caught two of them and I believe they were of Arabic origin. My father thought the slave trade was a despicable thing that was going on, the slaves were treated very badly so when they got the slavers they didn’t give them a very nice timeā€. ⁣

Roho sio rangi
Screenshot_20220922-211907.jpg
 
Wakoloni wote WaOmani, Waingereza, Portuguese, WaJeremani n.k wote walikuwa watesi wetu kwa namna zote.

Samora Machel : Ukoloni wa kiFikra

Katika hotuba yake motomoto kuhusu kutawaliwa, alihoji vipi mwafrika aliyetawaliwa na mfaransa akajiona m-bora kuliko mwingine kwa kuwa Ufaransa wana tamaduni bora zaidi ya uandishi wa mistari ya mashairi ya mapendo kwa umahiri wa kisomi.

Samora Machel anazidi kuwaza hata wale waliotawaliwa na muingereza wajiona wao ni bora kwa vile Uingereza ilitawala nchi nyingi zaidi na inasemekana ni wazungu 'wastaarabu' zaidi.

Samora Machel anatuasa ingawa Portugal ni nchi masikini zaidi ktk ulaya lakini ni nchi iliyoendekeza ukoloni kama Ufaransa, Uingereza na Ureno / Portugal na sifa za nchi zote hizo za ulaya ni kuwa ziliendekeza ukoloni.

Samora Machel anapigia mstari neno ukoloni na kuwa ukoloni ni unyama hauna utu hivyo kujisifia wewe ni zao la ukoloni huu au ule wenye hadhi ya juu ni kukosa fikra sahihi.

Hivyo maneno ya Samora Machel anasisitiza tuamke na kuwa mapambano lazima yaendelee (2022) dhidi ya ukabila, ujinga, maradhi, njaa, ushirikina na mawazo potofu ya kukumbatia ukoloni wa aina yoyote.

Anamalizia kuwa ukoloni wowote hauna usafi wa kujivunia kwani ni Ukoloni unaogandamiza jamii zingine na kuzigawanisha.
[/QUOTE
Naunga mkono hoja. Wote walikuwa watesi wetu. Walitofatiana tu namna ya kututesa.
 
Back
Top Bottom