Kumbe Waarabu walikuwa watu wabaya kiasi hiki, yadumu mapinduzi matukufu ya Zanzibar

Kumbe Waarabu walikuwa watu wabaya kiasi hiki, yadumu mapinduzi matukufu ya Zanzibar

Mleta mada unaonekana ni mnazi wa wazungu labda nikuulize ni mkoloni gani kati ya mwarabu na mzungu alikuwa na makoloni mengi hapa duniani?

Je wazungu hawakufanya biashara ya utumwa? Leo hii America imekuwaje na kiasi kikubwa cha watu weusi wenye asili ya afrika?

Je wazungu walikuwa wakiwajali sana waafrika pindi walipokuwa wanatawala?
 
Watu wamejzwa ujinga kiasi hawaelewi Mwarabu ni nani mzungu ni nani.

Wanasahau au hawaelewi hata maana ya neno ustaarabu ni nini.
Ajabu sana ...mtoa mada mwenyewe anajiita msta-ARAB halafu anasema waarabu walikuwa ni watu wabaya. Fuatilieni vizuri..waarabu walitawala na kuishi vp na waswahili (Wa-Sahel /wapwani) . Waarabu waliishi na waswahili miaka mingapi kabla ya kuja kwa wakoloni wa kizungu. (wareno ) katika pwani ya Afrika ya Mashariki.
 
Wakati Zanzibar ikiwa dola kubwa 1882 ilikuwa na wafanyabishara waliojipenyeza kibiashara, kijasusi, kijeshi mpaka Manyema DR Congo hadi bahari ya Atlantic Congo Brazaville na Angola.

Zanzibar kuwa Taifa kubwa la kibiashara muda huo Ikasababisha vita ya kijeshi na Ubelgiji. Vita 1892 / 1894 WHKMLA : History of the Belgo-Arab War, 1892-1894 ambayo ilichagizwa kwa ukubwa kuhusu maslahi ya kiuchumi hivyo majeshi ya kibelgiji ya King Leopold yaliyokuwa Congo na majeshi ya Dola Kubwa ya Zanzibar chini ya mwana wa Tippu Tip yaliyokuwa huko Congo yakisindikiza biashara maeneo hayo ya Afrika ya Kati kupambana.

Turuke / fast forward 2022 hii Dola Kubwa ya Sultani iliongozwa na nani ? Kwanini ikaitwa vita baina ya waBelge na WaArabu ? Je pande hizi mbili zilizopigana vita, zote siyo za kikoloni ambazo zinapigania masilahi yao ?

Between 1892 and 1894 the Force Publique of King Leopold II’s Congo Free State engaged in a series of little-known counter-insurgency operations against ivory and slave traders from Zanzibar, commonly referred to as Arabs. Without a particularly strong tradition of imperial service, this article argues that the predominantly Belgian officer corps borrowed and adapted methods used by more experienced colonial forces in the 19th Century. Whether taken from existing literature or learned through experience, it reveals that the Force Publique’s counter-insurgency methods reflected many of the more recognisable aspects of traditional French and British approaches. It suggests that, despite the unique nature of each colonial campaign, basic principles could be adapted by whomsoever to overcome the military and political challenges of colonial conquest. The Force Publique’s campaigns in the Congo-Arab War, therefore, provide further evidence as to how some base theories could be universally applied.
 
Mke wa waarabu huyo lazima awasife waume zake..sunajua shughuli ya kaka mwarabu sio mchezo.

Huwezi narudia huwezi mtenganisha muarabu na biashara ya utumwa...hao ndio walikua madalali wakubwa wa watumwa..miji yote ya ukanda wa pwani ilishamili enzi za ukoloni kwa sababu ya biashara ya utumwa mfano bagamoyo..kilwa..mikindani n.k baada ya biashara za utumwa kukomeswa miji yote ilikufa na kubaki maghofu tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tukiacha kutukanana unaelezeaje watumwa wa Brazil waliotoka kuanzia Pemba ya Msumbiji hadi Pemba ya Zanzibar?
Ukitafiti utapata habari zao kuwa walipo fika Brazil inasemekana walikuwa wa daraja la juu kuliko waliotoka makoloni mengine ya Ureno sababu ya kujua kusoma na kuandika kwa Kiarabu.
 
Hizi ni poropaganda na fitna tu. Waarabu hawakuwa na tatizo na waafrika. Walitupenda sana na tuliishi nao kwa amani na upendo. Hizi mnaleta ni chuki tu..hata mapinduzi ya zanzibar yalikuwa ni chuki tu dhidi ya waarabu. Mtapata laana kubwa kuwa singizia waarabu. Hawana baya kabisa na watu.
Hebu waza kidogo. Watupenda vipi wakati walikuwa wanachukua watu huko tabora na kuwauza kama watumwa?
 
Hebu waza kidogo. Watupenda vipi wakati walikuwa wanachukua watu huko tabora na kuwauza kama watumwa?
Waarabu walikuja kuwaokoa wa Africa walivyo kuwa wakiuliwa na Wareno, Soma vizuri Historia, Baada ya Waoman kuwapiga Wareno gulf Machief wa Ki Africa wakaomba msaada wakaja WA Oman na WA Bulushi wakutosha kuwasaidia wa Africa.

Hivi hujiulizi kwa nini waarabu wanapendwa sana Maeneo wanapoishi? Chunguza hata humu wanaochukia wengi ni wale ambao vizazi vyao havijawahi kuishi na waarabu, wanawajua waarabu kwa kusoma tu.
 
Historia inaonyesha hata Kalifeti (The Umayyad Caliphate) lilianguka na kupoteza majimbo yake mengi barani Afrika kwasababu ya ubaguzi wa waarabu dhidi ya waafrika na weusi. Kibaya zaidi ni kwamba kiongozi wa kalifeti alijisifia kabisa kudhamini huu ubaguzi. Lakini, pia hii tabia imezuka ya kupenda kusema kwamba mwarabu hakumfanyia mtu mweusi jambo baya kisa dini, nadhani siyo ya kiungwana.

Waarabu, wakishirikiana na machifu wa kiafrika walihusika kwenye biashara ya utumwa lakini wengi wenu kwasababu za kidini huwa mnapenda kupindisha ukweli. Ushahidi wa kihistoria unaonyesha kwamba kuna mkataba wa kumaliza biashara ya utumwa uliosaniwa na dola la Zanzibar chini ya Sultan Bargash, na dila la Britania chini ya Malkia Victoria mnamo mwaka 1870, ambapo Bargash alikubali kufunga soko la watumwa Mkunazini.

Sasa wakuu, mnavyosema kwamba waarabu hawakufanya ubaguzi, wala biashara ya utumwa dhidi ya waafrika mnataka waungwana wawaelewaje labda?
Biashara ya Utumwa iliofanyika huku kwetu haiku base kwenye Racism, Kulikuwa na watumwa weusi, watumwa waarabu, watumwa wazungu etc. Yapo mataifa ya Ki Africa yaliyotawala waarabu kama Aksum(Ethiopia ya Sasa) walitawala Yemen. Na Aksum ndio ilikuwa inamiliki trade routes zote hadi Persia,

Ila yote haya yanafumbiwa macho, atatafutwa mwarabu mmoja ambaye alikuwa anamtumikia mwingereza abebeshwe zigo lote la lawama. Na kutafutwe evidence as if waarabu walikuwa waki wa enslave wa Africa tu.
 
Mkuu, hakujawahi kuwa na utumwa mzuri, uwe umefanywa na mweusi, mwarabu au mzungu. Mwarabu anaendelea kulalamikiwa kwasababu hapendi kukubali ukweli kwamba alifanya biashara ya utumwa. Wazungu huwa wanakubali makosa na wengi wao wamejitahidi sana kubadilika, lakini waarabu mpaka leo hii wamekumbatia biashara ya kishenzi kama utumwa na ubaguzi wa rangi.
 
Wakati Zanzibar ikiwa dola kubwa 1882 ilikuwa na wafanyabishara waliojipenyeza kibiashara, kijasusi, kijeshi mpaka Manyema DR Congo hadi bahari ya Atlantic Congo Brazaville na Angola.

Zanzibar kuwa Taifa kubwa la kibiashara muda huo Ikasababisha vita ya kijeshi na Ubelgiji. Vita 1892 / 1894 WHKMLA : History of the Belgo-Arab War, 1892-1894 ambayo ilichagizwa kwa ukubwa kuhusu maslahi ya kiuchumi hivyo majeshi ya kibelgiji ya King Leopold yaliyokuwa Congo na majeshi ya Dola Kubwa ya Zanzibar chini ya mwana wa Tippu Tip yaliyokuwa huko Congo yakisindikiza biashara maeneo hayo ya Afrika ya Kati kupambana.

Turuke / fast forward 2022 hii Dola Kubwa ya Sultani iliongozwa na nani ? Kwanini ikaitwa vita baina ya waBelge na WaArabu ? Je pande hizi mbili zilizopigana vita, zote siyo za kikoloni ambazo zinapigania masilahi yao ?

Between 1892 and 1894 the Force Publique of King Leopold II’s Congo Free State engaged in a series of little-known counter-insurgency operations against ivory and slave traders from Zanzibar, commonly referred to as Arabs. Without a particularly strong tradition of imperial service, this article argues that the predominantly Belgian officer corps borrowed and adapted methods used by more experienced colonial forces in the 19th Century. Whether taken from existing literature or learned through experience, it reveals that the Force Publique’s counter-insurgency methods reflected many of the more recognisable aspects of traditional French and British approaches. It suggests that, despite the unique nature of each colonial campaign, basic principles could be adapted by whomsoever to overcome the military and political challenges of colonial conquest. The Force Publique’s campaigns in the Congo-Arab War, therefore, provide further evidence as to how some base theories could be universally applied.
Wazungu wengi ni ignorant kuhusu watu Wasiokuwa wazungu, Umewahi hata siku moja ku Google Picha za Masultan wa Znz? Ama huyo Tip tipu?

Khalifa bin Haroub
STE-3pic2-768x480.jpg

Ali Bin Said Sultan wakati wa hivyo vita
images (9).jpeg

Humudi huyu,
images (10).jpeg

Huo Uarabu ulishaisha zamani, hawa ndio waliopigana na wabelgiji ni weusi wenzako badala kuwa proud nao umekaa unasoma mtaala alioandika Uingereza ili kukufanya uwe mtumwa wa Ki fikra.

Huyu Tip tipu
images (11).jpeg
 
Mkuu, hakujawahi kuwa na utumwa mzuri, uwe umefanywa na mweusi, mwarabu au mzungu. Mwarabu anaendelea kulalamikiwa kwasababu hapendi kukubali ukweli kwamba alifanya biashara ya utumwa. Wazungu huwa wanakubali makosa na wengi wao wamejitahidi sana kubadilika, lakini waarabu mpaka leo hii wamekumbatia biashara ya kishenzi kama utumwa na ubaguzi wa rangi.
According to whom exactly?
Oman Kuna weusi kibao, Kuwait Amir aliekufa alikuwa na asili ya weusi, Qaboos toka miaka ya 70 ni Sultan wa Oman huhitaji ushahidi wowote kujua asili yake ni wapi.

images (12).jpeg

Wakati Hapa Tanzania mkipigana wenyewe na kuwatesa weusi wenzenu Oman wanawapokea tu Kuna Malaki ya Watanzania wamepokelea oman baada ya Uhuru.
 
Ni kuja kutumikisha , kuwatesa na kuwauzà wana afrika mashariki kwa wazungu kama ngombe
Na sio Kuja Kupigana na Wareno?

Kiufupi ni kwamba hao waarabu usiowapenda wamemwaga damu zao Kuwa tetea wa Africa wanaoishi ukanda wa pwani, wamepigana vita kwa muda Mrefu kuwa tetea waswahili.

Soma Historia ya Kilwa, ilikuwa ni mji uliostawi na Biashara kubwa wakaja Wareno wakavamia wakaua watu na kupora mali zote, Oman kule wakisaidiwa na wa Bulushi wakampiga mreno, ndio Oman na Viongozi wa Africa mashariki wakaungana wakampiga mreno huku.

Soma hapa kama ngeli inapanda
 
According to whom exactly?
Oman Kuna weusi kibao, Kuwait Amir aliekufa alikuwa na asili ya weusi, Qaboos toka miaka ya 70 ni Sultan wa Oman huhitaji ushahidi wowote kujua asili yake ni wapi.

View attachment 2367235

Wakati Hapa Tanzania mkipigana wenyewe na kuwatesa weusi wenzenu Oman wanawapokea tu Kuna Malaki ya Watanzania wamepokelea oman baada ya Uhuru.
Mkuu, weusi kupewa nafasi katika madola ya kiarabu halijaanza leo, labda wewe uwe mgeni wa historia. Tangu siku dola la kwanza la kiislamu (The Rashidun Caliphate) linaanzishwa, watu kutoka Afrika walikuwepo wengi tu tena wakiwa na mchango mkubwa sana katika mafanikio ya kueneza dini ya Uislamu. Lakini, jambo la msingi kujiuliza ni nafasi yao ndani ya jamii za kiarabu zikoje:

Hoja ya kusema kwasababu Tip Tipu na Qaboos walikuwa ni weusi basi waarabu hawakuwa wabaguzi nadhani ni hoja dhaifu. Maana hata kule Afrika Magharibi, kulikuwa na madola ya kiislamu ya watu weusi lakini yalikuwa yako kwenye vita kubwa mno dhidi ya madola ya kiislamu ya kiarabu kwasababu ya ubaguzi wa rangi. Unafahamu nini kilisababisha vita kubwa baina ya dola la Kiislamu la Ummayed dhidi ya Berbers wa Afriqiya (Afrika), vita ambayo iliugawanya uislamu na kuzaa makundi yasiyo na msingi ???
 
Mkuu mimi ni mwarabu na ni mu oman, Familia zetu wote hukosi watu weusi, tu naona na tunakaa pamoja, huo ubaguzi munauona Nyie. Njoo Tanga uone Familia za Ki oman zilivyomix rangi.

Oman ni nchi ya mixed race mamia ya miaka, watu weusi na waarabu wana exist pamoja that's why unakuta hadi royal family imeathirika hivyo.

Na Hakuna ubaguzi mbaya Mkuu kama systematic/institutional racism, Hao watu weusi walipata hizo nafasi uarabuni sababu mwarabu haamini doctor mweusi ni mbaya ama engineer mweusi hana uwezo kuliko mzungu etc. Ndio maana utakuta Qatar leo wanaenda kucheza World cup 2022 karibia nusu ya wachezaji ni WA Africa. Wangekuwa na systematic racism wangejaza wa Brazil kibao ila wamechukua WA Africa wadogo na kuwakuza.

At same time hizo nchi munazoona zimestaarabika zimejaa institutional racism.

Kuhusu hivyo vita Mkuu vina siasa na uisilamu, kihistoria dola ya kiisilamu Ile pure kabisa iliisha kwa Khalifa wa 4 yaani Alli, waliofuatia kama Umayyad caliphate even scholars wa kiisilamu utaona wana Criticize, na si Viongozi wote walikuwa ni wazuri, mfano Yazid kiongozi wa Umayyad alimuua mjukuu wa mtume, so mambo hayakuwa black and white, kuna complication nyingi na fitnah nyingi, si kila vita ni ya kidini.
 
Uarabu ulishaisha zamani

Uarabu ni rangi, nasaba au bara atokalo mtu ? Maana hata Afrika kama South Africa wazungu wanajihesabu kuwa ni waafrika kwa sababu wamelowea zaidi ya miaka 400. Hata Sultan wa Zanzibar na watu wengine kama walijinasibu kuwa ni waafrika lakini kama walifanya vitendo visivyokubalika basi tunyamaze tuseme hewala yalikwisha tufanye ni siri.

Tujiulize kwanini watu wa rangi zote Africa ya kusini waliokuwa ktk vyama vya ANC, PAC walipinga ubaguzi wa rangi uliokuwa unaendekezwa na waafrika wenzao wenye rangi nyeupe.

Je harakati hizo zilizopinga utumwa Afrika mashariki na ya kati katika dola kubwa ya Zanzibar zina utofauti gani na zile za kupinga ubaguzi Afrika ya Kusini.

Au ubaguzi za rangi ni mbaya zaidi ya utumwa au namna yoyote inayo mnyanyasa mtu utu wake uwe ubaguzi wa rangi, ubaguzi wa nafasi za mamlaka(siasa) , biashara ya utumwa au ukoloni lazima upingwe na kukemewa pia haustahili historia yake ifukiwe kwa kuwa ni wenzetu hivyo tusikumbushane madhila ya ubaguzi, utumwa na ukoloni?

Blackpast

27 Mar 2016 — Zanzibar was separated from Oman after Said's death in 1856 when his son Majid bin Said became the first sultan of Zanzibar
 
Back
Top Bottom