Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Ajabu sana ...mtoa mada mwenyewe anajiita msta-ARAB halafu anasema waarabu walikuwa ni watu wabaya. Fuatilieni vizuri..waarabu walitawala na kuishi vp na waswahili (Wa-Sahel /wapwani) . Waarabu waliishi na waswahili miaka mingapi kabla ya kuja kwa wakoloni wa kizungu. (wareno ) katika pwani ya Afrika ya Mashariki.Watu wamejzwa ujinga kiasi hawaelewi Mwarabu ni nani mzungu ni nani.
Wanasahau au hawaelewi hata maana ya neno ustaarabu ni nini.
Faiza nakuelewaWatu wamejzwa ujinga kiasi hawaelewi Mwarabu ni nani mzungu ni nani.
Wanasahau au hawaelewi hata maana ya neno ustaarabu ni nini.
The Congo–Arab War (also known as the Congolese–Arab War, Belgo–Arab War or Arab Wars) took place in what is now the Democratic Republic of the Congo between the forces of Belgian King Leopold II 's Congo Free State and various Zanzibari Arab slave traders led by Sefu bin Hamid, the son of Tippu Tip. Fighting occurred in the eastern Congo between 1892 and 1894.
Congo–Arab War | Military Wiki | F…
View attachment 1748030
military.wikia.org/wiki/Congo%E2%80%93…
Tukiacha kutukanana unaelezeaje watumwa wa Brazil waliotoka kuanzia Pemba ya Msumbiji hadi Pemba ya Zanzibar?Mke wa waarabu huyo lazima awasife waume zake..sunajua shughuli ya kaka mwarabu sio mchezo.
Huwezi narudia huwezi mtenganisha muarabu na biashara ya utumwa...hao ndio walikua madalali wakubwa wa watumwa..miji yote ya ukanda wa pwani ilishamili enzi za ukoloni kwa sababu ya biashara ya utumwa mfano bagamoyo..kilwa..mikindani n.k baada ya biashara za utumwa kukomeswa miji yote ilikufa na kubaki maghofu tu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hebu waza kidogo. Watupenda vipi wakati walikuwa wanachukua watu huko tabora na kuwauza kama watumwa?Hizi ni poropaganda na fitna tu. Waarabu hawakuwa na tatizo na waafrika. Walitupenda sana na tuliishi nao kwa amani na upendo. Hizi mnaleta ni chuki tu..hata mapinduzi ya zanzibar yalikuwa ni chuki tu dhidi ya waarabu. Mtapata laana kubwa kuwa singizia waarabu. Hawana baya kabisa na watu.
Kwani Mkuu sababu ya waarabu Kuja Ukanda wa Africa mashariki ni nini?Halafu kuna watu wamezaliwa majuzi tuu , wanapewa tende tuu wanawatetea kwa kupindisha historia eti walikuwa watu wema sana
Waarabu walikuja kuwaokoa wa Africa walivyo kuwa wakiuliwa na Wareno, Soma vizuri Historia, Baada ya Waoman kuwapiga Wareno gulf Machief wa Ki Africa wakaomba msaada wakaja WA Oman na WA Bulushi wakutosha kuwasaidia wa Africa.Hebu waza kidogo. Watupenda vipi wakati walikuwa wanachukua watu huko tabora na kuwauza kama watumwa?
Biashara ya Utumwa iliofanyika huku kwetu haiku base kwenye Racism, Kulikuwa na watumwa weusi, watumwa waarabu, watumwa wazungu etc. Yapo mataifa ya Ki Africa yaliyotawala waarabu kama Aksum(Ethiopia ya Sasa) walitawala Yemen. Na Aksum ndio ilikuwa inamiliki trade routes zote hadi Persia,Historia inaonyesha hata Kalifeti (The Umayyad Caliphate) lilianguka na kupoteza majimbo yake mengi barani Afrika kwasababu ya ubaguzi wa waarabu dhidi ya waafrika na weusi. Kibaya zaidi ni kwamba kiongozi wa kalifeti alijisifia kabisa kudhamini huu ubaguzi. Lakini, pia hii tabia imezuka ya kupenda kusema kwamba mwarabu hakumfanyia mtu mweusi jambo baya kisa dini, nadhani siyo ya kiungwana.
Waarabu, wakishirikiana na machifu wa kiafrika walihusika kwenye biashara ya utumwa lakini wengi wenu kwasababu za kidini huwa mnapenda kupindisha ukweli. Ushahidi wa kihistoria unaonyesha kwamba kuna mkataba wa kumaliza biashara ya utumwa uliosaniwa na dola la Zanzibar chini ya Sultan Bargash, na dila la Britania chini ya Malkia Victoria mnamo mwaka 1870, ambapo Bargash alikubali kufunga soko la watumwa Mkunazini.
Sasa wakuu, mnavyosema kwamba waarabu hawakufanya ubaguzi, wala biashara ya utumwa dhidi ya waafrika mnataka waungwana wawaelewaje labda?
Ni kuja kutumikisha , kuwatesa na kuwauzà wana afrika mashariki kwa wazungu kama ngombeKwani Mkuu sababu ya waarabu Kuja Ukanda wa Africa mashariki ni nini?
Mkuu, hakujawahi kuwa na utumwa mzuri, uwe umefanywa na mweusi, mwarabu au mzungu. Mwarabu anaendelea kulalamikiwa kwasababu hapendi kukubali ukweli kwamba alifanya biashara ya utumwa. Wazungu huwa wanakubali makosa na wengi wao wamejitahidi sana kubadilika, lakini waarabu mpaka leo hii wamekumbatia biashara ya kishenzi kama utumwa na ubaguzi wa rangi.Biashara ya Utumwa iliofanyika huku kwetu haiku base kwenye Racism, Kulikuwa na watumwa weusi, watumwa waarabu, watumwa wazungu etc. Yapo mataifa ya Ki Africa yaliyotawala waarabu kama Aksum(Ethiopia ya Sasa) walitawala Yemen. Na Aksum ndio ilikuwa inamiliki trade routes zote hadi Persia,
Ila yote haya yanafumbiwa macho, atatafutwa mwarabu mmoja ambaye alikuwa anamtumikia mwingereza abebeshwe zigo lote la lawama. Na kutafutwe evidence as if waarabu walikuwa waki wa enslave wa Africa tu.
Wazungu wengi ni ignorant kuhusu watu Wasiokuwa wazungu, Umewahi hata siku moja ku Google Picha za Masultan wa Znz? Ama huyo Tip tipu?Wakati Zanzibar ikiwa dola kubwa 1882 ilikuwa na wafanyabishara waliojipenyeza kibiashara, kijasusi, kijeshi mpaka Manyema DR Congo hadi bahari ya Atlantic Congo Brazaville na Angola.
Zanzibar kuwa Taifa kubwa la kibiashara muda huo Ikasababisha vita ya kijeshi na Ubelgiji. Vita 1892 / 1894 WHKMLA : History of the Belgo-Arab War, 1892-1894 ambayo ilichagizwa kwa ukubwa kuhusu maslahi ya kiuchumi hivyo majeshi ya kibelgiji ya King Leopold yaliyokuwa Congo na majeshi ya Dola Kubwa ya Zanzibar chini ya mwana wa Tippu Tip yaliyokuwa huko Congo yakisindikiza biashara maeneo hayo ya Afrika ya Kati kupambana.
Turuke / fast forward 2022 hii Dola Kubwa ya Sultani iliongozwa na nani ? Kwanini ikaitwa vita baina ya waBelge na WaArabu ? Je pande hizi mbili zilizopigana vita, zote siyo za kikoloni ambazo zinapigania masilahi yao ?
Between 1892 and 1894 the Force Publique of King Leopold II’s Congo Free State engaged in a series of little-known counter-insurgency operations against ivory and slave traders from Zanzibar, commonly referred to as Arabs. Without a particularly strong tradition of imperial service, this article argues that the predominantly Belgian officer corps borrowed and adapted methods used by more experienced colonial forces in the 19th Century. Whether taken from existing literature or learned through experience, it reveals that the Force Publique’s counter-insurgency methods reflected many of the more recognisable aspects of traditional French and British approaches. It suggests that, despite the unique nature of each colonial campaign, basic principles could be adapted by whomsoever to overcome the military and political challenges of colonial conquest. The Force Publique’s campaigns in the Congo-Arab War, therefore, provide further evidence as to how some base theories could be universally applied.
According to whom exactly?Mkuu, hakujawahi kuwa na utumwa mzuri, uwe umefanywa na mweusi, mwarabu au mzungu. Mwarabu anaendelea kulalamikiwa kwasababu hapendi kukubali ukweli kwamba alifanya biashara ya utumwa. Wazungu huwa wanakubali makosa na wengi wao wamejitahidi sana kubadilika, lakini waarabu mpaka leo hii wamekumbatia biashara ya kishenzi kama utumwa na ubaguzi wa rangi.
Na sio Kuja Kupigana na Wareno?Ni kuja kutumikisha , kuwatesa na kuwauzà wana afrika mashariki kwa wazungu kama ngombe
Mkuu, weusi kupewa nafasi katika madola ya kiarabu halijaanza leo, labda wewe uwe mgeni wa historia. Tangu siku dola la kwanza la kiislamu (The Rashidun Caliphate) linaanzishwa, watu kutoka Afrika walikuwepo wengi tu tena wakiwa na mchango mkubwa sana katika mafanikio ya kueneza dini ya Uislamu. Lakini, jambo la msingi kujiuliza ni nafasi yao ndani ya jamii za kiarabu zikoje:According to whom exactly?
Oman Kuna weusi kibao, Kuwait Amir aliekufa alikuwa na asili ya weusi, Qaboos toka miaka ya 70 ni Sultan wa Oman huhitaji ushahidi wowote kujua asili yake ni wapi.
View attachment 2367235
Wakati Hapa Tanzania mkipigana wenyewe na kuwatesa weusi wenzenu Oman wanawapokea tu Kuna Malaki ya Watanzania wamepokelea oman baada ya Uhuru.
Mkuu mimi ni mwarabu na ni mu oman, Familia zetu wote hukosi watu weusi, tu naona na tunakaa pamoja, huo ubaguzi munauona Nyie. Njoo Tanga uone Familia za Ki oman zilivyomix rangi.Mkuu, weusi kupewa nafasi katika madola ya kiarabu halijaanza leo, labda wewe uwe mgeni wa historia. Tangu siku dola la kwanza la kiislamu (The Rashidun Caliphate) linaanzishwa, watu kutoka Afrika walikuwepo wengi tu tena wakiwa na mchango mkubwa sana katika mafanikio ya kueneza dini ya Uislamu. Lakini, jambo la msingi kujiuliza ni nafasi yao ndani ya jamii za kiarabu zikoje:
Hoja ya kusema kwasababu Tip Tipu na Qaboos walikuwa ni weusi basi waarabu hawakuwa wabaguzi nadhani ni hoja dhaifu. Maana hata kule Afrika Magharibi, kulikuwa na madola ya kiislamu ya watu weusi lakini yalikuwa yako kwenye vita kubwa mno dhidi ya madola ya kiislamu ya kiarabu kwasababu ya ubaguzi wa rangi. Unafahamu nini kilisababisha vita kubwa baina ya dola la Kiislamu la Ummayed dhidi ya Berbers wa Afriqiya (Afrika), vita ambayo iliugawanya uislamu na kuzaa makundi yasiyo na msingi ???
Uarabu ulishaisha zamani