Kumbe Waarabu walikuwa watu wabaya kiasi hiki, yadumu mapinduzi matukufu ya Zanzibar

Dah yote haya ni kwenye kumtetea tu muarabu,hawa jamaa sijui wamewapa nini.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Wewe umejibu? Unajizungusha tu, weka vitabu vyako hapa

Ephesians 6:5​

5 Slaves, obey your earthly masters with fear and trembling, with a sincere heart, as you would Christ,
 
Dah yote haya ni kwenye kumtetea tu muarabu,hawa jamaa sijui wamewapa nini.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app

Ephesians 6:5-8 Paul states, “Slaves, be obedient to your human masters with fear and trembling, in sincerity of heart, as to Christ” which is Paul instructing slaves to obey their master

Similar statements regarding obedient slaves can be found in

Colossians 3:22-24,

1 Timothy 6:1-2,

and Titus 2:9-10.
 
Ephesians 6:5​

5 Slaves, obey your earthly masters with fear and trembling, with a sincere heart, as you would Christ,
Sasa hao slaves wa ku obey wako wapi ewe slave master? Mmewapeleka wapi watu weusi?
 
Wale nyani wa zanzibar wenyewe wanasema muungano uvunjwee mwarabu arudi..blad paka...sio bure hawana visogo wale..ndo mana wamekosa akili
 
Allah huyu hapa:
 
Attachments

  • Picsart_22-09-29_09-38-23-263.jpg
    92.4 KB · Views: 8
Wale nyani wa zanzibar wenyewe wanasema muungano uvunjwee mwarabu arudi..blad paka...sio bure hawana visogo wale..ndo mana wamekosa akili
Tumekosa akili kwani baada ya kutuvamia 1964 mkauwa watu kwa maelfu sasa mnaendeleza mauwaji kila baada miaka mitano. By the way wasio na akili ndio wanaowaongoza hivi sasa tena wanawake.
 
Waraabu wameacha utumwa mbaya zaidi kwa wazanzibar kwa kitu kinaitwa dini. Watu wanaaminishwa kuwa wakifika "peponi" watapewa wanawake mabikra 70.. kwahiyo kazi yao itakuwa ni kut*mba tu...
 
Waraabu wameacha utumwa mbaya zaidi kwa wazanzibar kwa kitu kinaitwa dini. Watu wanaaminishwa kuwa wakifika "peponi" watapewa wanawake mabikra 70.. kwahiyo kazi yao itakuwa ni kut*mba tu...
Ndiyo mafundisho ya biblia hayo uliyopata kanisani kwa mchungaji wako?
 
Waraabu wameacha utumwa mbaya zaidi kwa wazanzibar kwa kitu kinaitwa dini. Watu wanaaminishwa kuwa wakifika "peponi" watapewa wanawake mabikra 70.. kwahiyo kazi yao itakuwa ni kut*mba tu...

Dah yote haya ni kwenye kumtetea tu muarabu,hawa jamaa sijui wamewapa nini.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Mkuu Jukwaa Huru njoo na hoja, Kama nadanganya njoo na hoja ya kunipinga.

Ni ujinga kiwango cha lami kuamini picha iliotumwa wakati wafaidikaji wa watumwa walikuwa ni wao.

Ama unafikiri watumwa walivyotolewa humu walienda Kuuzwa wapi?
 
Waraabu wameacha utumwa mbaya zaidi kwa wazanzibar kwa kitu kinaitwa dini. Watu wanaaminishwa kuwa wakifika "peponi" watapewa wanawake mabikra 70.. kwahiyo kazi yao itakuwa ni kut*mba tu...
Mkuu hao waarabu waliotawala Znz ni Ibadhi na waisilamu TZ ni wa Sunni, Uisilamu upo Tanzania hata kabla ya hao waarabu wa Znz hawajAkuja.

Tatizo lenu Nyie hamtaki kujifunza, halafu Mnaongea pumba na mnataka kulazimisha kuwa ni ukweli.
 
Ibadhi na waisilamu TZ ni wa Sunni,

Tayari unataka kuwagawa waZanzibari na waTanganyika kuwa hawa ni Sunni, wale Ibadhi nyie Bohora huyu Shia n.k

Huu ubaguzi wa kuwaundia vikundi watu ni njia mojawapo inayotumika na watawala wanaotumia genge au 'chama' mfano CCM au mtawala yeyote aliye madarakani kwa kilemba cha uSultani, urais, ufalme n.k ili wawatawale vizuri vikundi hivi vidogo vilivyogawanishwa.

Utumwa ulifanywa na jamii zote ziwe za bara Afrika, bara arabuni, bara Asia, bara ulaya na unafaa kupigwa vita bila kuoneana aibu kuwa huyu ni mwenzetu hivyo tumsitiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…