Kumbe Waarabu walikuwa watu wabaya kiasi hiki, yadumu mapinduzi matukufu ya Zanzibar

Mwarabu na mzungu si watu kabisa, eti Leo wametuletea mavitabu Yao na sisi tunakenuakenua meno tukidhani tafika sijui mbinguni kwa kupitia mavitabu Yao waliyoyaleta kwenye majahazi!!
 
Wewe kweli chizi maarifa, ya unadiriki kupanua mdomo Wako hadharani kumtetea mtu aliyekamata babu zako kama kuku, aliyewalawiti watumwa, aliyepasua matumbo ya wajawazito ili kuwafurahisha wanawe eti waone jinsi mtoto akaavyo tumboni, wakaleta chuki na imani yenye kusababisha watu kuchinjwa, kukatwa mikono, kujitoa muhanga, Leo unasema mwarabu Hana ubaya na sisi!!!? We chizi kabisa
 
Narudia kwa sauti kubwa "Mwarabu sio mtu kabisaaa" Au niongeze volume! Mi nimeishi nao, hawana hata chembe ya huruma shenz type!!
 
Mwaarabu tangu lini akampenda mtu mweusi?
 
Huu ndo ukweli sasa wanatetea waarabu sababu ya dini
 
Nawagawa? Hayo ni makundi yapo na yanatambulika. Mfate Ibadhi muomani muambie wewe sio Ibadhi kama atakuelewa, ama Mfate Ayatollah mwambie wewe sio Shia kama atakuelewa, hayo ni makundi yanatambulika kisheria na kikatiba kabisa.

Oman imeundwa juzi juzi tu baada ya Makubaliano baina ya Ibadhi na watawala ila kwa miaka Takriban 1200 eneo kubwa La nchi lilikuwa linaongozwa na imam wa Ibadh kama uavyoona Iran wana Ayatollah juu ya Raisi


Uisilamu kwa maana Sunni umefika huku kwetu kabla hata haujaenea huko Arabuni, someni Historia msitumie tu utashi wenu.

Na sijakataa hata sehemu moja kwamba utumwa haujafanyika, nimekwambia tu mifano yako havikuwa sahihi.
 
Waarabu? Watu wenye hulka za ukatili mkuu pengine kuliko race nyingine haps duniani
Kumbuka waarabu wana damu ya kiafrica pia! nusu kwa nusu! yaani ni machotara wa kizungu na kiafrica...jiulize kwa nini wazungu siyo makatili ivo km waarabu?? na

kwa nini waafrica wenzenu. yaani babu yako weye uliye bakia huru Tanzania ya leo,

waliuza ndg zao kwa waarabu wenye damu zao za kiafrica vilevile??....humo njiani walimo pita kulikuwa na waafrica weusi kibao kwa nini hawakuwakomboa ndugu zao waliokuwa wakiburuzwa utumwani??

Je ni nani alikomesha hiyo biashara haramu ya watumwa?? km siyo mzungu huyo huyo?? leo mnamlaumu aliye wasaidia msiburuzwe ndo mlivyo waaafrica!!

km haitoshi leo hii wanawapa misaada mnawatukana mara wanyonyaji, Mkoloni! sijui Beberu sasa nani aje kuwekeza kwa watukanaji??? wkt anakupa chakula,

anakupa dawa ndege Bombardier, pesa, mlo, mashine zakusaga Magari ya kifahari yooote ya Ikulu yale ni yao!! wamewafundisha kutengeneza bila kinyongo!

Miafrica ingejua kurusha na kutengeneza ndege km hati miliki yao heee!! hakuna mtu yeyote angepanda hiyo ndege wwaafrica wangekufa na ujuzi wao!!.....

Mchawi maarufu mwana marundi kafa na uchawi wake hakurithisha ajili ya uchoyo tuuu!....uchawi maarufu wa Mafarao wa Misri uko wapi leo km siyo Ulaya???

nyie weusi mlikuwa wachoyo kuugawa kwa ndg zenu wazungu waka chukua! mpaka leo mnawapigia magoti hakuna jinsi ...kuna wachawi wengi africa wamekufa na uchawi wao!

hizi mvua unaroga tu mawingu mvua inanyesha lkn walitunyima wakafa nao huo ujuzi! roho mbaya tu! sasa km una roho mbaya kwa ndg yako muarabu afanyeje?? ....

Rais wenu mliye mchagua bila aibu, wala maumivu aliwaita majina eti fisadi mweee!

Mara vyeti fake! wakt huo huo, Bashiite, JW, Magereza polisi anawaacha maksudi tu! kwa upendeleo, wakti huo huo kuna watu wameuza madini weeee! bila kulipa ushuru, aliwaacha,

sasa hapo Muarabu akiwaburuza sokoni km mbuzi ana kosa gani?? walaumuni ndugu zenu walio wauza basi ndo ivoivo mlivyo uzwa utumwani kwa kusingiziwa!!

Tena Muarabu alikuwa anasubiri kuletewa watumwa kulee pwani, alikuwa haingii ndani ndani huko alikuwa anaogopa kutafunwa Mbung'o, wanyama wakali! safari ndefu na jua la kitropic hakuliweza!

kifupi Mzungu, Muarabu hata kwa muonekano tu wanavoonekana mpaka leo safari ngumu hawawezi kabisaaaa!!kazi hizo walifanya Babu zenuuuu! sasa eti mnawatwisha mzigo waarabu na wazungu pumbaf zenu!
 
Acha upumbavu sasa.Umekuwa mtu mzima unajua?
Hapana Mkuu! ..........''Mnyonge mnyongeni Lkn haki yake mpeni!!.... Jiulize swali dooogo tu kuwa wageni Waarabu walijuaje njia salama za kuelekea kwenye Masoko/mahali Watumwa walipo patikana kirahisi huko Bara???,

kumbuka wkt huo hawa waarabu walikuwa wakitokea pwani waliko acha majahazi na ngalawa zao?? km hawakuongozwa na wenyeji weusi waliojua njia ??

tukubaliane kitu kimoja kwamba hao hao ndg zetu weusi haswaaa!! walishiriki pa kubwa mnoo ktk biashara hiyo bila kumungunya Maneno!!....tena walijua na walikwepa makabila Tata na Makorofi,

Kwa mfano makabila km Wakurya, wahehe, wasukuma weee! ....huko msafaraawa watumwa ulikuwa ukipita tu, ni kuchomwa moto live na kuliwa mishikaki!!

ndg zetu waafrica bila aibu walifanya na kutuuza kwa weupe tena ktk hali ya udhalili zaidi kuliko weupe walivyo tufanyia, na mpaka leo iko ivo!.......weupe /wazungu wanatufanyia mema mazuri mangapi??

tena feva zaidi kuliko ndugu zetu waafrica weusi! nakupa mfano live!

wkt semina ya Afya ya MTUHA ilipo ingia nchini kwa mara ya kwanza kabisa chini ya uongozi wa Wazungu!! wazungu walitaka washiriki wote walipwe Dola 1000! kwa siku!

lkn sasa hao hao!! waswahili wenzenu wakaona nizo ni hela nyingi sana!

wakawashauri wazungu kuwa hizo pesa ni nyingi sana! kwa watanzania..so waafrica wa wizara ya afya kina Dr Mwita na genge lake wakapendekeza yafuatayo

wafanya kazi washiriki wa semina walipwe kwa Madaraja yao kuanzia Dola mbili tu kwa daraja la juu! na kadiri ile semina ilivo kuwa inaendelea walifika mahali wakawa wanalipwa dola moja kabisaaa!!

Pili hakuna haja ya vitafunwa seminani sababu washriki wanatoka nyumbani wamesha kula kabisa Mwee!! nilichoka!! wkt huo huo semina km hiyo hiyo!! ilifanyika nchini Bangladesh!!bahati nzuri nilikuwa kule!

maajabu sasa nilishuhudia washiriki wataalamu wa afya walilipwa kwa kiwango kilekile cha awali kilichopendekezwa na WHO, sasa utaona jinsi waafrica weusi tunavo umizana sana!!

hii ilinishngaza sana! lkn japo nilijua sikuwa na pa kusemea!! yamkini pia kuna mambo mazuri sana mnatakiwa myapate hapo km watanzania lkn hamyapati kabisa na wala hamjui!

Nakupa Mfano kidogo,Africa hii! hii!! nchi ndogo km Kingdom of Lesotho haina raslimali nyingi! lkn Wazee wote nchini kuanzia miaka 70, wanalipwa Posho ya kujikimu kila baada ya mwezi!!

Km haitoshi wamama woote wenye watoto viwete, wanapata posho ajili ya watoto wao, SA ndo usiseme kabisaaa! na hali hii walirithi kutoka kwa Wazungu!...Asa km Mzungu alimfanyia ivo mwafrica je wao si ndo zaidi!!

sasa kwa nini Mtanzania asimuoe mke Mzungu ili aposhoke vyema maisha yake yooote!! Make ukioa Mzungu atakuweka kwenye kipengere cha posho km sehemu ya familia yake!!

tena tena hela hizo za posho ya kujikimu ya Mzungu ni nyingi sana kwa M-Bongo, utanunua mabasi mpaka ulie poo!...mwenyewe utamwambia baaaasi inatosha wacha nijetegemee!!
 
Mkuu hao waarabu waliotawala Znz ni Ibadhi na waisilamu TZ ni wa Sunni, Uisilamu upo Tanzania hata kabla ya hao waarabu wa Znz hawajAkuja.

Tatizo lenu Nyie hamtaki kujifunza, halafu Mnaongea pumba na mnataka kulazimisha kuwa ni ukweli.
Haijalishi ni nani. Mi ninachojua uislamu ni dini ya waarabu. That's my point!
 
Umasikini mbaya sana aisee! [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Haijalishi ni nani. Mi ninachojua uislamu ni dini ya waarabu. That's my point!
Again hujui unachoongea
1. Uisilamu si dini ya waarabu

2. Uisilamu Tanzania haujatoka Oman, upo Tanzania hata kabla ya Wa Oman, In fact Prince wa Iran ya kale (persia) Anakuja Kilwa karne ya 10 anakuta Wazawa Tayari ni waisilamu.

Anyway sikulazimishi, endelea kujaza ujinga kichwani ama kaa Chini Soma Historia yako.
 
Hao wazawa huo Uislamu wao waliupokea kutokea wapi kama siyo kutokea Arabuni?!
 
Hao wazawa huo Uislamu wao waliupokea kutokea wapi kama siyo kutokea Arabuni?!
Elewa Hoja amehusisha uisilamu Tanzania na Waarabu wa Oman, kitu ambacho sio sahihi sababu
1. Waarabu wa oman wana uisilamu wao tofauti unaitwa Ibadhi kama ni wao ndio walioleta uisilamu basi waisilamu wote tungekuwa Ibadhi hapa Tanzania.

2. Waarabu wa Oman wakija Tanzania tayari Tanzania ni waisilamu, nimekupa Mfano huo wa Kilwa.

3. Ukisoma Historia ya Uisilamu hata kabla mtume hajaenda Madina hijra ya kwanza ilifanyika toka Makkah kuja Aksum (Ethiopia/Somalia ya sasa), kipindi Hicho Swahili coast tayari ipo na Kilwa ilikuwa ina Compete na Mogadishu.
Angalia hapa

Na kupata real world evidece ipo misikiti Africa inaangalia Jerusalem, kipindi cha mwanzo cha Mtume waisilamu walikuwa wakiswali kuangalia Jerusalem baadae ndio ikaja amri ya kuangalia Makkah. Mfano ni Qiblatain ambao upo somaliland


Hii ni evidence uisilamu upo Africa toka kipindi cha mtume na sio kwamba uliletwa na biashara ya utumwa ama wa Oman kama wengi humu wanavyotupiga kamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…