Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Namkubali sana Chemical....my best "female" rappa in Africa.Nimeshangaa kuona watu wanaulizana huyu ni demu gani anachana namna hii? Ni baada ya Diamond kumpost kwenye kurasa yake ya instagram Rosa Lee.
Mara ya kwanza kumsikia nilitokea kumkubali mno maana ana uwezo wa kuchana na kutumia lugha mbili kwa wakati mmoja.
Nafikiri sio mbaya wadau mkakiona na Nyie hichi kipaji kipya kwenye hiphop ya bongo.
Ndio kabisa... Binti akijipanga kwenye content atatisha sanaKwa sisi watu wa 'kiwanda' cha muziki, yangu ni haya kwa huyu Mc;
Tukizungumzia wimbo huu ndipo yanapokuja maneno mengi ya ukosoaji kutoka kwa wadau kutokana na matusi ya wazi kabisa kitu ambacho ni kinyume na tamaduni zetu, kwa baadhi ya watu hata angetumia uwezo gani bado angeonekana si chochote.
Kwa upande uwezo wa game
Binti ana uwezo mkubwa sana wa kuitawala beat, ana uwezo mkubwa sana wa kuchana style tofauti na pia kuvaa uhusika na kujiamini katika hadhira.
Ni mbunifu pia kuanzia mwonekano wa mwili, mavazi, na hata taswira za ki Hip hop (hivi huwaangusha wanamuziki wengi kwa kushindwa kuvaa uhalisia).
Maoni yangu kutokana na uzoefu wangu, binti ni mkali sana (kwa watu wanaopenda miziki ya aina hii, maana usije ukasema hawezi kitu kumbe miziki hii huikubali) hivyo aandike vitu vya maana naamini atafika mbali sana haswa kwa mwanzo huu.
hahahaha jf noma sana...Itakuwa stroke.
mmh! hiyo wapelekee huko huko.....ngumu kumeza.....anauwezo ila kaatthiriwa na tabia za wahuni wa marekani
ase hata mim sipend wanawake wanavaa heren,cjui cheni na izo vituz puani ase....Sipendagi watu wanaovaa lipete puani kama maksai
ah chemical fundi aseeee...kibongo bongo ila.Chemical atasubiri Sana hapa