Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Nimeshangaa kuona watu wanaulizana huyu ni demu gani anachana namna hii? Ni baada ya Diamond kumpost kwenye kurasa yake ya instagram Rosa Lee.
Mara ya kwanza kumsikia nilitokea kumkubali mno maana ana uwezo wa kuchana na kutumia lugha mbili kwa wakati mmoja.
Nafikiri sio mbaya wadau mkakiona na Nyie hichi kipaji kipya kwenye hiphop ya bongo.
![]()
![]()
Namkubali sana Chemical....my best "female" rappa in Africa.