Kumbe wabongo hawamtambui Rosa Lee!?

Kumbe wabongo hawamtambui Rosa Lee!?

Nimeshangaa kuona watu wanaulizana huyu ni demu gani anachana namna hii? Ni baada ya Diamond kumpost kwenye kurasa yake ya instagram Rosa Lee.

Mara ya kwanza kumsikia nilitokea kumkubali mno maana ana uwezo wa kuchana na kutumia lugha mbili kwa wakati mmoja.

Nafikiri sio mbaya wadau mkakiona na Nyie hichi kipaji kipya kwenye hiphop ya bongo.

511b8ee00d049d2287890fdfcb9fe95e.jpg

f81aee4bd5ee03a46933e2cb6f804552.jpg

Namkubali sana Chemical....my best "female" rappa in Africa.
 
Kwa sisi watu wa 'kiwanda' cha muziki, yangu ni haya kwa huyu Mc;

Tukizungumzia wimbo huu ndipo yanapokuja maneno mengi ya ukosoaji kutoka kwa wadau kutokana na matusi ya wazi kabisa kitu ambacho ni kinyume na tamaduni zetu, kwa baadhi ya watu hata angetumia uwezo gani bado angeonekana si chochote.

Kwa upande uwezo wa game

Binti ana uwezo mkubwa sana wa kuitawala beat, ana uwezo mkubwa sana wa kuchana style tofauti na pia kuvaa uhusika na kujiamini katika hadhira.

Ni mbunifu pia kuanzia mwonekano wa mwili, mavazi, na hata taswira za ki Hip hop (hivi huwaangusha wanamuziki wengi kwa kushindwa kuvaa uhalisia).

Maoni yangu kutokana na uzoefu wangu, binti ni mkali sana (kwa watu wanaopenda miziki ya aina hii, maana usije ukasema hawezi kitu kumbe miziki hii huikubali) hivyo aandike vitu vya maana naamini atafika mbali sana haswa kwa mwanzo huu.
 
Ndio kabisa... Binti akijipanga kwenye content atatisha sana
 
huyu ni msanii wa nchi gan,,kama ni tz amewai to a nyimbo ika heat redion
 
This b*tch is dope,nimemkubali..atakuja kutisha sana,nchi kama kenya,nigeria na magharibi atapata sana collabo...hapa mnaomponda ni wadau wa singeli
 
mmh! hiyo wapelekee huko huko.....ngumu kumeza.....anauwezo ila kaatthiriwa na tabia za wahuni wa marekani

kabisa, wimbo wake hauna ladha kabisa ni matusi mwanzo mwisho kibongo bongo haunogi
 
duu huo wimbo ndio kaimba nini jamani mbona mimi sijaelewa

mi nawashauri hawa wasanii wachukue hata short course za fani zao sio kukurupuka
 
Hiyo ni dirty version but IPO clean version anajitahidi ila si kwa level za stosh
 
Back
Top Bottom