Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dogo hajuiiiStyle yake ya nywele iko poa, nilimuona juzi EATV awards akiwapokelea tunzo Navy kenzo na kutoa shukran kwa sapot.
Mkuu hii ni hazina nyingine hii kwa watanzania, apunguze tu matusi sababu rap/ hip hop sio matusi, afanye muziki.Huyu dogo hajuiii
Anaimba maza faka tuuu
Kaboa kweli
DuuuhMkuu hii ni hazina nyingine hii kwa watanzania, apunguze tu matusi sababu rap/ hip hop sio matusi, afanye muziki.
--binafsi nimemkubali sana anavyochana na namuona kwenye mafanikio yake soon atakuwa level za kina Navy kenzo.
**ukiachana na yote unajua hiki kitoto kizuri sana, nilikuwa nakiangalia mara mbilimbili EATV awards
--Tokea asubuhi leo hii nyimbo naiimba.
HATA WAO NI MAKSAI TU, WANABEBA MIZIGO YA HATARISipendagi watu wanaovaa lipete puani kama maksai
TOBAAA, KUMBE MATUSI YA MAREKANI KWETU SAFI TU? COPY AND PASTE.kama unamkubali nick minaj lazima umkubali huyu, na kama umewahi mkubali nikiminaj au li kimna huyu unamponda ana matusi we ni mnafki
Goma kali hili.....wenye haki ya kulalamika hii ngoma ina matusi ni wale ambao hawaskilizi hiphop ya marekani
Angalia kwenye tv za internation kama Mtv base na zile za miziki ya nigeria. Hii ngoma wanaipiga sana. Ipo kwenye top 10 kenyan. Last time ilikuwa number 3Hivi huo wimbo wake unachezwa redioni kweli maana si kwa mitusi ile.
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Ndo anaanza tu na mitusi hiyo!!!,akifikia level za too much na muziki itakuwaje?
Itakuwa stroke.mbona domo limepinda???au ndo mnaitwa swagaaa