Kumbe wabongo hawamtambui Rosa Lee!?

Kumbe wabongo hawamtambui Rosa Lee!?

Nigger usilete nyege acha mambo ya kisenge i don't need your dick i need only maiki,
U mstali kuntu
 
Ng'ombe wote wenye vipini puani wengi wao huwa ni vichaa, kama ilivyo kwa binadamu watu kama hao ni wakukaa nao mbali kwani hawana tofauti na ng'ombe wale . ..,
 
Huyu dogo hajuiii
Anaimba maza faka tuuu

Kaboa kweli
Mkuu hii ni hazina nyingine hii kwa watanzania, apunguze tu matusi sababu rap/ hip hop sio matusi, afanye muziki.
--binafsi nimemkubali sana anavyochana na namuona kwenye mafanikio yake soon atakuwa level za kina Navy kenzo.
**ukiachana na yote unajua hiki kitoto kizuri sana, nilikuwa nakiangalia mara mbilimbili EATV awards

--Tokea asubuhi leo hii nyimbo naiimba.
 
Nasikia ana sound kama chemical... Kwa iyo ngoja niendelee kumsikiliza chemical
Nasikia matusi tu.... Kwa iyo niacheni nisikilize punchline zenye knowledge
Nasikia ana rap kwa kingerza... Wakati taifa lina promote. Lugha ya kiswahili.
Naona ame rap kama mgumu kweli.... Ila kwenye video anaonekana ana nyege kilo mia nane...
Watanzania hatupendi ujingaaaa... Dj niwekee ngoma ya darassa..
Samahanini lakin misio
Simba sio chui sio mambaaaa
 
Mkuu hii ni hazina nyingine hii kwa watanzania, apunguze tu matusi sababu rap/ hip hop sio matusi, afanye muziki.
--binafsi nimemkubali sana anavyochana na namuona kwenye mafanikio yake soon atakuwa level za kina Navy kenzo.
**ukiachana na yote unajua hiki kitoto kizuri sana, nilikuwa nakiangalia mara mbilimbili EATV awards

--Tokea asubuhi leo hii nyimbo naiimba.
Duuuh
Umepotoka bro, hamna kitu hapo, hehehee.
Sasa huo wimbo umeupendea nn hapo!!!
 
kama unamkubali nick minaj lazima umkubali huyu, na kama umewahi mkubali nikiminaj au li kimna huyu unamponda ana matusi we ni mnafki

Goma kali hili.....wenye haki ya kulalamika hii ngoma ina matusi ni wale ambao hawaskilizi hiphop ya marekani
TOBAAA, KUMBE MATUSI YA MAREKANI KWETU SAFI TU? COPY AND PASTE.
 
Swaga za rihanna ila matusi mengi pia ilo dude puani kama ng'ombe ndio ananifanya nihamishe Chanel....
 
Hivi huo wimbo wake unachezwa redioni kweli maana si kwa mitusi ile.
Angalia kwenye tv za internation kama Mtv base na zile za miziki ya nigeria. Hii ngoma wanaipiga sana. Ipo kwenye top 10 kenyan. Last time ilikuwa number 3
 
mimi binafsi nimempenda... sio kila siku tunategesha masikio kuangakia kendric, nick, drake wametoa nini

sasa tunaanza kupata ladha za mazafaka hapa hapa home.... [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
nigga usilete genye acha mambo ya kingese[emoji23][emoji23][emoji23] ni shidaaaa!!!!!
 
Back
Top Bottom