Kumbe Wadada Huwa Mkitongozwa Na Mtu Bitoz Huwa Hamkatai Ila Mkitongozwa Na.... Huwa Wepesi Kukataa

Gwangzu

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2017
Posts
2,457
Reaction score
3,818
Leo Katika Pitapita Zangu Nakutana Nikapita Sehemu Kichocholoni Nikasikia Demu Flani Anamwambia Kidume Flani ***hivi
Et, Niache Kumukubali Naniliii...... Bishooo! Nije Ku,kubali Wewe!.
***************
NB: Wadada Acheni Kufuata Ubishoo Wa Mtu Ndio Maana Huwa Mnazalishagwa Alafu Mnaachwa Hamuudumiwi Chochote!
 
Sasa hata kama mchafu akukubalie tu kisa umempenda,usafi huficha udhaifu wa mtu hata kama ana njaa uwezi jua .kuweni person hygiene mtapendwa tu.
 
Wengi waliowakubalia mabishoo sasa hivi ni masingo maza wanaanza kusema eti wanaume wote ni mbwa[emoji23] [emoji23] ..

Kwani mama ulipokuwa unakula bata na bishoo wako sisi tulikuwepo... halafu unataka eti sisi uliotuona maboya enzi unatrend ndio tukuoe...no way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…