Kumbe Wadada Huwa Mkitongozwa Na Mtu Bitoz Huwa Hamkatai Ila Mkitongozwa Na.... Huwa Wepesi Kukataa

Kumbe Wadada Huwa Mkitongozwa Na Mtu Bitoz Huwa Hamkatai Ila Mkitongozwa Na.... Huwa Wepesi Kukataa

Wanawake wanahitaji wanaume wa aina mbili.

1:Handsome.(huyu ni wa kuuzia)
2:Mwanaume atakae mtunza na kumthamini bila kujali ana sura kama maktaba.
Umesahau sifa moja..
Wanahitaji mwanaume anayejua kutia mikwaju..
 
Unazungumzia mademu ?? Mademu ndio wapo after Six packs, mavazi, viatu, minyoo ya nywele, miondoko. Pafyumu n.k.

Mwanamke yeye anataka mwaname
[emoji117]anayejiamin
Mwenye kumfanya ajihisi na salama
Funny
Mwanamme anayeamin ktk mafanikio
Hata km hana kitu lkn awe mwenye ndoto zakwamba ipo siku kupitia hiki nitatoboa.
N.k

Sasa hapa ndo ujue kuna mademu na wanawake.
 
Back
Top Bottom