Kumbe Wadada Huwa Mkitongozwa Na Mtu Bitoz Huwa Hamkatai Ila Mkitongozwa Na.... Huwa Wepesi Kukataa

Unazungumzia mademu ?? Mademu ndio wapo after Six packs, mavazi, viatu, minyoo ya nywele, miondoko. Pafyumu n.k.

Mwanamke yeye anataka mwaname
[emoji117]anayejiamin
Mwenye kumfanya ajihisi na salama
Funny
Mwanamme anayeamin ktk mafanikio
Hata km hana kitu lkn awe mwenye ndoto zakwamba ipo siku kupitia hiki nitatoboa.
N.k

Sasa hapa ndo ujue kuna mademu na wanawake.
Wanaojitambua na wasiojitambua
 
Wengi waliowakubalia mabishoo sasa hivi ni masingo maza wanaanza kusema eti wanaume wote ni mbwa[emoji23] [emoji23] ..

Kwani mama ulipokuwa unakula bata na bishoo wako sisi tulikuwepo... halafu unataka eti sisi uliotuona maboya enzi unatrend ndio tukuoe...no way
No way for sure...
 
Sasa hata kama mchafu akukubalie tu kisa umempenda,usafi huficha udhaifu wa mtu hata kama ana njaa uwezi jua .kuweni person hygiene mtapendwa tu.
Ishu sio uchafu. Nadhan hao unawasemea ni wakuhesabika. ninachozungumzia ni wale wa vijana wanaojiheshimu. Yaan smart lakinsi wahuni. Kijana anajielewa, ana kazi yake , lakin pia ni mcha Mungu na mwaminifu.

Kijana kama huyu anamtokea demu, sababu hana swaga wala madoido.. demu anamuona jamaa mshamba , amepitwa na wakat, so anakwenda kumkubalia muhuni.. ambaye mwisho wa siku anamfanya singo mother wkt yule mwenye malengo alimkataa.
 
Wengi waliowakubalia mabishoo sasa hivi ni masingo maza wanaanza kusema eti wanaume wote ni mbwa[emoji23] [emoji23] ..

Kwani mama ulipokuwa unakula bata na bishoo wako sisi tulikuwepo... halafu unataka eti sisi uliotuona maboya enzi unatrend ndio tukuoe...no way
Carcinoma hii kitu nimekutana nayo sana. Nilishawahi kupigwa chini na mwanamke ambae nilikuwa nina malengo ya kuoa kabisa. Sababu zake ni kwamba nimetulia sana, alaf old school.
Japo niliumia lakin nilikubali, hazikuoita siku mbili nikamuona wanatoka na jamaa mmoja bitoz sana kitaa..
Haikuisha miezi sita, demu ana mimba alaf mchizi ametoroka kabisaa, yaani hataki kusikia hizo habari.
Sasa hiv ni singo maza, yuko nyumbani, hana mbele wala nyuma. Nikikutana nae huwa namsikiliza sana anavyolalamikia wanaume..
 
Unazungumzia mademu ?? Mademu ndio wapo after Six packs, mavazi, viatu, minyoo ya nywele, miondoko. Pafyumu n.k.

Mwanamke yeye anataka mwaname
[emoji117]anayejiamin
Mwenye kumfanya ajihisi na salama
Funny
Mwanamme anayeamin ktk mafanikio
Hata km hana kitu lkn awe mwenye ndoto zakwamba ipo siku kupitia hiki nitatoboa.
N.k

Sasa hapa ndo ujue kuna mademu na wanawake.
Amen brother. Preach to them.. ili baadae wasije wakalalamika oh wanaume wote wabaya , kumbe machaguo yao ndio mabaya.
 
Kuna kasumba moja kwa wadada wa sasa ( hapa wanaojielewa smhawahusiki)..
Ni rahisi sana kuchukuliwa na mwanaume mwenye swag, mwanaume bishoo, mtu wa club misele mingi town lakin future hana.

Wenyewe wanaita bad boy..

Wakija wanaume wenye malengo, mkaka wa watu amechomekea, kapiga suti, anajitegemea, mchapa kazi.. ila sababu haendi club basi anapigwa kibuti hapo hapo...

Wanachoshindwa kujua ni kwamba.. matozi na mabishoo wengi hawana future. Ndio maana mdada anatiwa mimba, muhuni anakimbia kabisa.
Mdada anabaki nyumban, analea mwanae, hana hili wa lile..
Baada wadada humu wanakuja kusema wanaume wote ni mbwa, sijui malaya (kuna mmoja anajijua)
alipokuja yule mwenye nia mnamkataa coz anaonekana mshamba, akija bitozi mnakubali faster, yakibuma mnalaani wanaume wote...

Akina dada kuweni makini.. ( big up kwa wanawake wanaojielewa.)
 
Ni kweli mkuu
 
Nikuambie tuu ukiona mdada anashobokea bishoo jua hajakua! Hao wako kwenye stage ya balehe! Wakijashtuka wameshachelewa, huwezi kuta mwanamke ambaye anajielewa yuko na mtu kavaa suruali ka ya dadake!
 
Haswa dada. Thats why nimeandika pale kwa wanawake wanaojielewa hawahusiki. Maana mwanamke anaejielewa hata unapo mu aproach, anatake time anakusiliza haja yako..

Lakin hawa mcharuko, salam tu kwanza haitiki, unamsalimia mtu njian kavuta mdomo. Wengine ukisalimia unatukanwa...
Ndio hawa kwao mabishoo ni bora kuliko wenue malengo. Wakizinduka usingizini, wanajikuta na mtoto , au ukimwi. Then wanaanza kulaani wanaume wabaya.. kumbee..
 
Back
Top Bottom