Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahaha, ndio nimejua kwann watu wanasema humu kuna watotoMwingine 2004 hajaanza primary daaah!nilichokaaa!nahisi yuko form six
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, ndio nimejua kwann watu wanasema humu kuna watotoMwingine 2004 hajaanza primary daaah!nilichokaaa!nahisi yuko form six
Seriously yaani ujue nilipiga mahesabu nkamuambia dogo amkia kwanzaHahaha, ndio nimejua kwann watu wanasema humu kuna watoto
Wanaojitambua na wasiojitambuaUnazungumzia mademu ?? Mademu ndio wapo after Six packs, mavazi, viatu, minyoo ya nywele, miondoko. Pafyumu n.k.
Mwanamke yeye anataka mwaname
[emoji117]anayejiamin
Mwenye kumfanya ajihisi na salama
Funny
Mwanamme anayeamin ktk mafanikio
Hata km hana kitu lkn awe mwenye ndoto zakwamba ipo siku kupitia hiki nitatoboa.
N.k
Sasa hapa ndo ujue kuna mademu na wanawake.
No way for sure...Wengi waliowakubalia mabishoo sasa hivi ni masingo maza wanaanza kusema eti wanaume wote ni mbwa[emoji23] [emoji23] ..
Kwani mama ulipokuwa unakula bata na bishoo wako sisi tulikuwepo... halafu unataka eti sisi uliotuona maboya enzi unatrend ndio tukuoe...no way
Na we unawakubali mabishooUtoto utoto tu
Ishu sio uchafu. Nadhan hao unawasemea ni wakuhesabika. ninachozungumzia ni wale wa vijana wanaojiheshimu. Yaan smart lakinsi wahuni. Kijana anajielewa, ana kazi yake , lakin pia ni mcha Mungu na mwaminifu.Sasa hata kama mchafu akukubalie tu kisa umempenda,usafi huficha udhaifu wa mtu hata kama ana njaa uwezi jua .kuweni person hygiene mtapendwa tu.
Carcinoma hii kitu nimekutana nayo sana. Nilishawahi kupigwa chini na mwanamke ambae nilikuwa nina malengo ya kuoa kabisa. Sababu zake ni kwamba nimetulia sana, alaf old school.Wengi waliowakubalia mabishoo sasa hivi ni masingo maza wanaanza kusema eti wanaume wote ni mbwa[emoji23] [emoji23] ..
Kwani mama ulipokuwa unakula bata na bishoo wako sisi tulikuwepo... halafu unataka eti sisi uliotuona maboya enzi unatrend ndio tukuoe...no way
What id hana sura ngumu. Sura ya kawaida tu .. lakin ametulia , ana kazi yake, na anaonyesha dhahiri ana malengo?Hao mabishoo huwa siwaangalii mara mbili!
Mwanaume uwe na sura ngumu!
Tatizo huwa wakija mnawakataa na kukimbilia mabishoo.. kisa wana swaga, pamba kibao, club, starehe. Wenye malenfo ya kuwatunza wanaonekana washamba.. wanapigwa kibutNamba mbili ndio wanaume
Amen brother. Preach to them.. ili baadae wasije wakalalamika oh wanaume wote wabaya , kumbe machaguo yao ndio mabaya.Unazungumzia mademu ?? Mademu ndio wapo after Six packs, mavazi, viatu, minyoo ya nywele, miondoko. Pafyumu n.k.
Mwanamke yeye anataka mwaname
[emoji117]anayejiamin
Mwenye kumfanya ajihisi na salama
Funny
Mwanamme anayeamin ktk mafanikio
Hata km hana kitu lkn awe mwenye ndoto zakwamba ipo siku kupitia hiki nitatoboa.
N.k
Sasa hapa ndo ujue kuna mademu na wanawake.
Ni kweli mkuuKuna kasumba moja kwa wadada wa sasa ( hapa wanaojielewa smhawahusiki)..
Ni rahisi sana kuchukuliwa na mwanaume mwenye swag, mwanaume bishoo, mtu wa club misele mingi town lakin future hana.
Wenyewe wanaita bad boy..
Wakija wanaume wenye malengo, mkaka wa watu amechomekea, kapiga suti, anajitegemea, mchapa kazi.. ila sababu haendi club basi anapigwa kibuti hapo hapo...
Wanachoshindwa kujua ni kwamba.. matozi na mabishoo wengi hawana future. Ndio maana mdada anatiwa mimba, muhuni anakimbia kabisa.
Mdada anabaki nyumban, analea mwanae, hana hili wa lile..
Baada wadada humu wanakuja kusema wanaume wote ni mbwa, sijui malaya (kuna mmoja anajijua)
alipokuja yule mwenye nia mnamkataa coz anaonekana mshamba, akija bitozi mnakubali faster, yakibuma mnalaani wanaume wote...
Akina dada kuweni makini.. ( big up kwa wanawake wanaojielewa.)
Sura ya kawaida ndo ugumu umeanzia hapo! Ndo maana huwezi sema ni bishoo!What id hana sura ngumu. Sura ya kawaida tu .. lakin ametulia , ana kazi yake, na anaonyesha dhahiri ana malengo?
Nikuambie tuu ukiona mdada anashobokea bishoo jua hajakua! Hao wako kwenye stage ya balehe! Wakijashtuka wameshachelewa, huwezi kuta mwanamke ambaye anajielewa yuko na mtu kavaa suruali ka ya dadake!Kuna kasumba moja kwa wadada wa sasa ( hapa wanaojielewa smhawahusiki)..
Ni rahisi sana kuchukuliwa na mwanaume mwenye swag, mwanaume bishoo, mtu wa club misele mingi town lakin future hana.
Wenyewe wanaita bad boy..
Wakija wanaume wenye malengo, mkaka wa watu amechomekea, kapiga suti, anajitegemea, mchapa kazi.. ila sababu haendi club basi anapigwa kibuti hapo hapo...
Wanachoshindwa kujua ni kwamba.. matozi na mabishoo wengi hawana future. Ndio maana mdada anatiwa mimba, muhuni anakimbia kabisa.
Mdada anabaki nyumban, analea mwanae, hana hili wa lile..
Baada wadada humu wanakuja kusema wanaume wote ni mbwa, sijui malaya (kuna mmoja anajijua)
alipokuja yule mwenye nia mnamkataa coz anaonekana mshamba, akija bitozi mnakubali faster, yakibuma mnalaani wanaume wote...
Akina dada kuweni makini.. ( big up kwa wanawake wanaojielewa.)
Haswa dada. Thats why nimeandika pale kwa wanawake wanaojielewa hawahusiki. Maana mwanamke anaejielewa hata unapo mu aproach, anatake time anakusiliza haja yako..Nikuambie tuu ukiona mdada anashobokea bishoo jua hajakua! Hao wako kwenye stage ya balehe! Wakijashtuka wameshachelewa, huwezi kuta mwanamke ambaye anajielewa yuko na mtu kavaa suruali ka ya dadake!
Hahahahahaha!Wadada wa wapi?
Kuna mwingine niliona akisema 2015 ndio alihitimu kidato cha nne. Kweli JF inashuka ubora wake.Kuna post nilisoma humu,MTU yuko std 7 2004 ,Leo yuko JF unategemea nini? Km si post km hz?