Kumbe Wadada Huwa Mkitongozwa Na Mtu Bitoz Huwa Hamkatai Ila Mkitongozwa Na.... Huwa Wepesi Kukataa

Kumbe Wadada Huwa Mkitongozwa Na Mtu Bitoz Huwa Hamkatai Ila Mkitongozwa Na.... Huwa Wepesi Kukataa

Leo Katika Pitapita Zangu Nakutana Nikapita Sehemu Kichocholoni Nikasikia Demu Flani Anamwambia Kidume Flani ***hivi
Et, Niache Kumukubali Naniliii...... Bishooo! Nije Ku,kubali Wewe!.
***************
NB: Wadada Acheni Kufuata Ubishoo Wa Mtu Ndio Maana Huwa Mnazalishagwa Alafu Mnaachwa Hamuudumiwi Chochote!
Hao mabibishow sorry mabebishoo kitandani wako hivi
IMG_20180412_065407_216.jpg
 
Rafiki nimekufananisha na shida raha rudisha avatar niliyoizoea jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha, hapo sawa nilitaka kushangaa mie humu nipo nipo tu ,ile avatar imekaa sana
 
Back
Top Bottom