Mbaya zaidi hakuna dalili kama February itakuwa na ahueni!January ngumu sana hii.
Yani hapo utajaziwa shazi mpaka mwenyewe ukome..Na huu ulimwengu wa Smartphone ndo balaa tupu..Dakika sifuri unashangaa kitu kimeenea kwenye magroup yote ya whatsapp[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akili kumkichwa angejuta alilegea kuvizia hela yako!ungecheua wazungu lazima ungekuwa mguu sawa
huna maana umeshaniudhiLeo asubuhi nlkuwa naenda mjini uku nikiwa na mzigo yangu mkononi na mkono mwingine ukiwa umeshika bomba la gari uku nmegeuka mgongo nkiugeuzia dirishani mwa gari.
Kumbe kwa mbele kulkua na dada mmoja mwny makalio alkua amevaa dela laini akawa ameniwekea makalio yake kwa mbele, safari ilivozidi yule dada akazid kunibana.
Kwa bahati mbaya 'mzee' akastuka kidogo, ile hali iliendelea hadi nkawa namuona anataka kuniegemea kifuani kuna muda watu walikuwa wanashuka kukawa na nafasi mbele yake cha ajabu alizidi kuniegemezea kiuno chake kwa mbele nami nkahisi kabisa anafurahia kitendo kile maana gari ilikua ikiyumba ye anayumba mara mbili ilimrad tu ajisugulishe kwa 'mzee'.
Hali ile ikiendelea hadi tumefika mwisho wa safari kalegea kabisa, sasa cha ajabu tuliposhuka alinitazama kwa matamanio nikahis anataka kusema neno mi nkajifanya sijamuona nikaondoka.
Sasa sahizi najuta kwanini sijamskiliza muda ule alikuwa anataka kuniambia nini..
Funny, that was like pouring cold water over someone during winter.Would you please kindly compose your message properly, I cannot make sense of the initials you use in your composition, perhaps it would be good to compose your views in Swahili? Sorry for this.
Jbu la mwendo kasiI normaly talk crap with retards like u
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]Rewaindi movie
Ianze upya
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mwanamke umembana muda wote huo umeshindwa kuongea naye? Ole wako nikute siku umeanzisha uzi unatafuta mke....