Kumbe wadada nao wamo, leo kalegea tukiwa kwenye daladala

Kumbe wadada nao wamo, leo kalegea tukiwa kwenye daladala

Kajolijo

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
3,364
Reaction score
4,612
Leo asubuhi nlkuwa naenda mjini uku nikiwa na mzigo yangu mkononi na mkono mwingine ukiwa umeshika bomba la gari uku nmegeuka mgongo nkiugeuzia dirishani mwa gari.

Kumbe kwa mbele kulkua na dada mmoja mwny makalio alkua amevaa dela laini akawa ameniwekea makalio yake kwa mbele, safari ilivozidi yule dada akazid kunibana.

Kwa bahati mbaya 'mzee' akastuka kidogo, ile hali iliendelea hadi nkawa namuona anataka kuniegemea kifuani kuna muda watu walikuwa wanashuka kukawa na nafasi mbele yake cha ajabu alizidi kuniegemezea kiuno chake kwa mbele nami nkahisi kabisa anafurahia kitendo kile maana gari ilikua ikiyumba ye anayumba mara mbili ilimrad tu ajisugulishe kwa 'mzee'.

Hali ile ikiendelea hadi tumefika mwisho wa safari kalegea kabisa, sasa cha ajabu tuliposhuka alinitazama kwa matamanio nikahis anataka kusema neno mi nkajifanya sijamuona nikaondoka.

Sasa sahizi najuta kwanini sijamskiliza muda ule alikuwa anataka kuniambia nini..
 
Simulizi za mwendo kasi ni nzuri. kosa ending siyo nzuri.Kila mmoja anatokomea na matamanio.
 
Teh teh..Ndo mitego yao hiyo siku hizi mkuu..Udhaifu wako ungekuelemea na kumchafua ndo ungeliona balaa lake..Pesa lazima ingekutoka
Kumbe nlifanya vizuri kujikaza eeeh?
 
Simulizi za mwendo kasi ni nzuri. kosa ending siyo nzuri.Kila mmoja anatokomea na matamanio.
Mimi sahizi ndio naanza kuwaza kuwa kwanini sijamuskiliza alkuwa anataka nini
 
Nyie mnafanya wanawake wanatuona madomo zege ulishindwa nini kumskiliza anataka nini ukaogopa ukakimbia ikiwa dalili zote umeona basi ungechukua hata no tu ingekusaidia kuliko kuja kupunguza machungu jf
 
Back
Top Bottom