kumbe wahindi nao wanatutamani

Wembe ni ule ule uliowanyoa,tumia mbinu zile zile tahadhari kubwa ni kuwa makini mbinu siku hizi zinabadilika. Nawe lazima ubadilike na maujanja yako ili usijefanyiwa kitendo ambacho hukukitarajia maishani mwako. Kunajamaa aliweka thread akasema kwakuwa dada anawasumbua watu wawili wanapanga kumbaka,vitu kama hivi sio katika ulimwengu1
 
Mmmmh, kula vichwa, kula vichwa.
Biashara asubuhi, mahesabu jioni
Na ujana maji ya moto

hata wasipokula wao, kuna siku utaliwa tu.
 
Madamex sasa unakuta mtu anataka longterm committment alafu kuna mtu alishapita I mean sio bikira) unajua kinachotokea na yeye anabandua anasepa!
Basi inakuwa ni mwendo wa kumega na kusepa so KAZI NI KWAKO
 
Kwani wahindi sio watu?
Wale wanapenda kama binadamu wengine, sema tu wao wamefungwa na mila na desturi zao.................
Mara nyingi huwageuza dada zetu nyumba ndogo.
 
Duh Smile ww bingwa wa kusepa na noti za Wahindi, kwa jinsi unavyo chukua pesa na kutimka kwa wahindi huku ukiwanyima KISUKARI NYAMA aka "K" yako.Wahenga walinena " kila mla cha mwenzake na chake huliwa" kuna siku utanasa kwa muhindi mjanja lazima akuchovye KIBAMIA chake.
 
ukipenda kula lazima na wewe uliwe so u better be careful na hao jamaa,utashangaa unatafunwa bila kujua cku moja ohooo..!
 

You might be so cute than I first thought and who knows may be I am your destiny! embu ni PM faster ila angalizo !mimi sio muhindi wala mzungu,Pure Tanzanian
 
Kama kwenye category zako za mume unayemtaka,kuna asili hiyo kwanini ujiulize mara nyingi au kama kuna mwenye asili zinazokaribia,kama huna uhakika,jambo jema na kubwa ni kumshirikisha mungu mana ndo wakaribu kuliko yeyote au washirikishe watu waimani yako(shehe/padre/mchungaji),lakini majibu ya uhakika yako kwa mungu na wewe mwenyewe concecutively
 
Smile, mimi ninavyowafahamu wanaume wa kihindii, wanatetemekea sana wanawake wa kiafrika weupe na wanene kiasi. Huenda hiyo ndo shape yako ndo maana.
 
Hongera zako kwa kutokewa na Wahindi! Hiyo mihela uliyopewa na hao Wahindi wako, fungua kampuni ya ujenzi, utafanya kazi kwa Wahindi hadi lini?
 

Duu...ushauri umempa ni mzuri lakini kumbe wewe nawe kuwadi acha kabisa na wewe tabia mbaya hiyo...najua kama Fisi nafuata simba nyuma nyuma siku simba nakosa nyama nageukia Fisi namaliza klbisa ...take care
 

Du, anti wewe unatisha. Hili promo ulilojipigia hapa, M net watakuchota sasa hivi. Utuambie basi na wachina walioku mind
 
mimi ni mbaya tu mkuu labda nimekaa kikafara kafara

Kama ni mbaya then lazima itakuwa unaonekana uko cheap sana ndio maana wanataka kukununua kwa bei chee! Kula hela za watu pia si suala la kujisifia hvyo jamani......
 
I see bora niongeze juhudi kabla sijaskia ushapelekwa Punjab!
 
Ila unataka kusema yaani wote hao hamna aliyefanikiwa hata siku moja. Basi utakuwa mjanja sana..ila kuwa na huruma usiwatese hivyo watoto wa wenzio nao ni watu.
 
Nakumbunguka siku ile ulikuwa unatafuta mtu wa kushare naye nyumba tena ulitaka mkaka, kumbe ilikuwa nyumba ya Mhindi au ulikuwa unatafuta ulinzi wa bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…