Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Wembe ni ule ule uliowanyoa,tumia mbinu zile zile tahadhari kubwa ni kuwa makini mbinu siku hizi zinabadilika. Nawe lazima ubadilike na maujanja yako ili usijefanyiwa kitendo ambacho hukukitarajia maishani mwako. Kunajamaa aliweka thread akasema kwakuwa dada anawasumbua watu wawili wanapanga kumbaka,vitu kama hivi sio katika ulimwengu1