dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
kupanua utumbo == kuliwa 'mtandao' au ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah ila amekufa kitambo jamani, imepita miaka 400+ nyuma.View attachment 2027840
Huyu Mzee mwaka 1550 alijiona anachoka sana, Ali angalia chakula anachokula na kukipunguza kufikia 350g na 414 mls za wine kwa siku.
Kwa hesabu za haraka haraka alikula yai moja asubuhi kama kifungua kinywa.
Kipande cha nyama, kuku au samaki saa kumi jioni kikiwa na kiazi na mboga. Ukubwa wa kopo la Coca Cola aliweka wine. Maji ni muhimu hapa kati kati.
Tunakula vyakula vingi tusivyo vihitaji. Wakati wa WWII, wanajeshi wa Magharibi waliotekwa Japan walilishwa kibakuli cha wali na kipande cha nyama kila baada ya masaa 24. Wengi waliishi mpaka kurudi makwao wakiwa wamekonda sana.
Iliwachukua zaidi ya mwezi kuzoea milo mitatu kwa siku.
Let mguu wa mbele wa mbuzi na konyagi kubwA. Kila mtu atakufa kimpango wakeView attachment 2027840
Huyu Mzee mwaka 1550 alijiona anachoka sana, Ali angalia chakula anachokula na kukipunguza kufikia 350g na 414 mls za wine kwa siku.
Kwa hesabu za haraka haraka alikula yai moja asubuhi kama kifungua kinywa.
Kipande cha nyama, kuku au samaki saa kumi jioni kikiwa na kiazi na mboga. Ukubwa wa kopo la Coca Cola aliweka wine. Maji ni muhimu hapa kati kati.
Tunakula vyakula vingi tusivyo vihitaji. Wakati wa WWII, wanajeshi wa Magharibi waliotekwa Japan walilishwa kibakuli cha wali na kipande cha nyama kila baada ya masaa 24. Wengi waliishi mpaka kurudi makwao wakiwa wamekonda sana.
Iliwachukua zaidi ya mwezi kuzoea milo mitatu kwa siku.
Mkuu hivi walewanawake wa miaka ya 70 walitokea sayari ipi?wale ulikuwa ukiingiza tu ze dudu wamemaliza kilele,hawa wasiku hizi wamegeuza mapenzi kama vita mkuu mpaka afikekileleni umetumika hasa.Ule yai moja halafu utegemeee umfikishe mkeo kileleni si kweli!
Wanawake wenyewe wa kiswahili walivyo na matako makubwa bila lishe hutoboi!
Chai kavu unamaanisha haina maji?Hii ni kweli, kula sana sio afya.
Binafsi nilishawahi kaa siku nne nakunywa chai kavu na maji mengi.
Maji ni muhimu sana.
Mkuu hivi walewanawake wa miaka ya 70 walitokea sayari ipi?wale ulikuwa ukiingiza tu ze dudu wamemaliza kilele,hawa wasiku hizi wamegeuza mapenzi kama vita mkuu mpaka afikekileleni umetumika hasa.
[emoji3][emoji3]Mbwa nao wanayahitaji
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2]Kulaaa msosi wa kiafrika.
Tena kula vizuri tu vyakula vya asili. Si lazima tufate wazungu. Piga ugali mchicha pilipili mixer maharage na shushia na maji kisha kafanye kazi.
Kama huna kazi ngumu chukua mkeo mshughulikie mpaka atake kukurudishia mahari akulipie yeye.
TUSIENDEKEZE SANA UZUNGU SISI NI WASWAHILI.
ndio unataka kutwambia kufanya ngono kwa muda mrefu nayo ni kazi yakujenga afya!?Kulaaa msosi wa kiafrika.
Tena kula vizuri tu vyakula vya asili. Si lazima tufate wazungu. Piga ugali mchicha pilipili mixer maharage na shushia na maji kisha kafanye kazi.
Kama huna kazi ngumu chukua mkeo mshughulikie mpaka atake kukurudishia mahari akulipie yeye.
TUSIENDEKEZE SANA UZUNGU SISI NI WASWAHILI.
Mungu ni mwema. Tutafika tu huko. Babu yangu alikuwa anakunywa gongo tena msabato, anakula mabata na samaki wasio na magamba. Anakula hadi nguruwe. Kama mwaka huu akiwa na miaka 91, afya njema kabisa, alikufa akitabasamu usingiziniBest nimepigwa sana na baridi ni kutafuta ngamia ya kujengea ghorofa langu, nitachukua precautions zote ni ishi mpaka hata 80-90 by God’s will.
Kama huna kazi ngumu kazi zako ni nyepesi au za kutumia peni na computer na una mke ngono ni mbadala wa kazi ngumu. Usipofanya kazi huku unatia msosi unajitafutia matatizo tu.ndio unataka kutwambia kufanya ngono kwa muda mrefu nayo ni kazi yakujenga afya!?
Mkuu haina kitafunwa hahahaChai kavu unamaanisha haina maji?
Mwili wa mwanadamu hauitaji chakula kingi unless wee ni mtu wa kuchimba msingi na kubeba zege. Lakini kama ni wa kukaa kwa ofisi unachapa marimba ya mzungu unatakiwa kula kiduchu tuu.View attachment 2027840