Kumbe wale wanaotaka order ya kiti moto kilo 1.5 na ugali huwa wanapanua utumbo tu

Kumbe wale wanaotaka order ya kiti moto kilo 1.5 na ugali huwa wanapanua utumbo tu

Ule yai moja halafu utegemeee umfikishe mkeo kileleni si kweli!

Wanawake wenyewe wa kiswahili walivyo na matako makubwa bila lishe hutoboi!
Tatizo la wana wake wengi siku hizi wanamitako na mitumbo....hawa wanawake wwtu ndio hii diet inawafaa. Yaani mbususu kuiona mpaka unyanyue tumbo bwana
 
View attachment 2027840
Huyu Mzee mwaka 1550 alijiona anachoka sana, Ali angalia chakula anachokula na kukipunguza kufikia 350g na 414 mls za wine kwa siku.

Kwa hesabu za haraka haraka alikula yai moja asubuhi kama kifungua kinywa.

Kipande cha nyama, kuku au samaki saa kumi jioni kikiwa na kiazi na mboga. Ukubwa wa kopo la Coca Cola aliweka wine. Maji ni muhimu hapa kati kati.

Tunakula vyakula vingi tusivyo vihitaji. Wakati wa WWII, wanajeshi wa Magharibi waliotekwa Japan walilishwa kibakuli cha wali na kipande cha nyama kila baada ya masaa 24. Wengi waliishi mpaka kurudi makwao wakiwa wamekonda sana.

Iliwachukua zaidi ya mwezi kuzoea milo mitatu kwa siku.
mkuu hivi niambie me niko chunya ktk timba zaidi ya mita 30 kwenda chini natakiwa nile chakula gani maana hapa naona ugali ndio unasongwa na maharagwe
 
Unawez ukajibana bana kote uko mwesho wa siku unakufa kifuani ngoja nikatafute rost moja matata weekend bar nyegezi
 
Ule yai moja halafu utegemeee umfikishe mkeo kileleni si kweli!

Wanawake wenyewe wa kiswahili walivyo na matako makubwa bila lishe hutoboi!
....mkuu umechekesha Sana...hii kweli kabisa...midada ya siku hizi usipolitia ipasavyo huna chako...na Kama ni mkeo anakukimbia...ndio maana wanaume na wanawake wanashindana Kula kilo za nguruwe siku hizi ..unakuta jimama/jidada/jimke limejaa kitambi...mijitako na Hadi k limejaza mifuta...hili kulikojolesha lazima ule Sana ugali na kilo za nguruwe.
 
Binafsi mimi sitaki kufika huko kwenye miaka 100 ya nini? Nigonge 80 to 85 niondoke zangu nikiw na nguvu kidogo nikawahi viwanja vyangu huko peponi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Viwanja au mabanzi ya kufa mtu...[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mkuu hivi walewanawake wa miaka ya 70 walitokea sayari ipi?wale ulikuwa ukiingiza tu ze dudu wamemaliza kilele,hawa wasiku hizi wamegeuza mapenzi kama vita mkuu mpaka afikekileleni umetumika hasa.
Miaka hiyo ulikuwepo?
 
Maisha haya hayana kanuni bali tunatumia maarifa ya wanadamu tu,
Nina mtu wangu wa karibu ni daktari wa muda mrefu tu,
Alipenda sana kutoa somo kuhusu namna ya ulaji chakula na namna ya kupunguza mwili ili kuepuka kupata magonjwa yasio ya kuambukiza.

Sasa hivi yupo hospitali anauguza kidonda baada ya mguu mmoja kukatwa kwa sababu ya kisukari,
Nashindwa kuelewa, namuangalia mpaka natamani nile chochote kitakacholetwa mezani.

Sasa itabidi nimtegemee Mungu na kanuni kidogo tu.
Ukifuatilia wafanya mazoezi magumu haikuwasaidia kutokuondoka duniani mapema.
 
Haya mambo bana hayaeleweki kabisa...
 
Haya mambo ya kulakula yanawahusu wenye hela za kula watakacho, sasa kama mtu anashindia vipande tiwili vya muhogo kutwa nzima huo ulaji wa makorokoro mengi unamuhusu nini? Wengine mlo mmoja kwa siku ni kawaida yao. Kuna watu hawajui njaa wala ukosefu wa chakula, wao tangu wazaliwe ni kulakula tu asubuhi, mchana, jioni na usiku
 
Bibi zangu wamekula nyama tangu utoto wao mwingine alikufa na miaka zaidi ya 115 mwingine na miaka 110 na wao chakula Chao daily ilikuwa nyama tu bila hivo Hawa enjoy life
 
Bibi zangu wamekula nyama tangu utoto wao mwingine alikufa na miaka zaidi ya 115 mwingine na miaka 110 na wao chakula Chao daily ilikuwa nyama tu bila hivo Hawa enjoy life
Wachagga kwa nyama...
 
Binafsi mimi sitaki kufika huko kwenye miaka 100 ya nini? Nigonge 80 to 85 niondoke zangu nikiw na nguvu kidogo nikawahi viwanja vyangu huko peponi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mkuu nani kakudokeza kuwa utaenda peponi na siyo motoni
 
Bwana hapendi utinginya basi siku hizi nimezoea kula kiduchu,
 
Mkuu haujui kiungo cha mbuzi kitamu.

Unakulaje mguu?

Pata mbavu choma, mbavu yote kuanzia inapoishia shingo, kidari chake hadi kiunoni huko!

Ichomwe iive vizuri kwa ugali, wacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kile huwa nafunga kwa ajili ya kula nyumbani na vijana wangu mashabibi. Sio mtoto wa kiume unalilia tu utumbo wa kuku.

Watoto wangu hupendelea sana hashwa za mbuzi
 
Ule yai moja halafu utegemeee umfikishe mkeo kileleni si kweli!

Wanawake wenyewe wa Kiswahili walivyo na matako makubwa bila lishe hutoboi!
Mipododo inataka kupelekewa moto
 
Back
Top Bottom