Kumbe wale wanaotaka order ya kiti moto kilo 1.5 na ugali huwa wanapanua utumbo tu

Dah ila amekufa kitambo jamani, imepita miaka 400+ nyuma.

Ila wataalamu wanakuambia ukifanikiwa kumuasha leo, ataona alikua na usingizi mzito toka jana tu.

Atashangaa tu mabadiliko na joto kali la dunia.

Hahaha
 
Let mguu wa mbele wa mbuzi na konyagi kubwA. Kila mtu atakufa kimpango wake
 
Ule yai moja halafu utegemeee umfikishe mkeo kileleni si kweli!

Wanawake wenyewe wa kiswahili walivyo na matako makubwa bila lishe hutoboi!
Mkuu hivi walewanawake wa miaka ya 70 walitokea sayari ipi?wale ulikuwa ukiingiza tu ze dudu wamemaliza kilele,hawa wasiku hizi wamegeuza mapenzi kama vita mkuu mpaka afikekileleni umetumika hasa.
 
Mkuu hivi walewanawake wa miaka ya 70 walitokea sayari ipi?wale ulikuwa ukiingiza tu ze dudu wamemaliza kilele,hawa wasiku hizi wamegeuza mapenzi kama vita mkuu mpaka afikekileleni umetumika hasa.

Mimi nawatafuta wale tulikuwa tukiwala wanalia machozi, siku hizi unapiga miti demu linarekodi video.!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2]
 
ndio unataka kutwambia kufanya ngono kwa muda mrefu nayo ni kazi yakujenga afya!?
 
Best nimepigwa sana na baridi ni kutafuta ngamia ya kujengea ghorofa langu, nitachukua precautions zote ni ishi mpaka hata 80-90 by God’s will.
Mungu ni mwema. Tutafika tu huko. Babu yangu alikuwa anakunywa gongo tena msabato, anakula mabata na samaki wasio na magamba. Anakula hadi nguruwe. Kama mwaka huu akiwa na miaka 91, afya njema kabisa, alikufa akitabasamu usingizini
 
ndio unataka kutwambia kufanya ngono kwa muda mrefu nayo ni kazi yakujenga afya!?
Kama huna kazi ngumu kazi zako ni nyepesi au za kutumia peni na computer na una mke ngono ni mbadala wa kazi ngumu. Usipofanya kazi huku unatia msosi unajitafutia matatizo tu.
 
Kuishi miaka mingi haitokani na kula tu kuna mambo ya genetic na nk, Shangazi yangu ni muumini mkubwa sana wa diet toka usichana wake nakumbuka toka mwaka 1992 halikuwa hanywi soda wala pombe kali yeye ni mtumiaji mara chache wa dry wine, yeye ni maji, matunda, mboga mboga hasa broccoli zile mboga zenye virutubisho.

Lakini ajabu sana leo ni mgojwa anasumbuliwa na figo, sukari na pressure annafanya dailyis kwa wiki mara 3.
 
Sisi kufakamia minyama ya kuku na kitimoto ukubwani Ni kwa sababu tulivi miss hivi vitu wakati tunakua.
Mbona hatuoni watu wakifakamia makande au maharagwe?
Ni Kama waliokulia seminary za ukweli wanavyopenda visichana vidogo.
 
Mwili wa mwanadamu hauitaji chakula kingi unless wee ni mtu wa kuchimba msingi na kubeba zege. Lakini kama ni wa kukaa kwa ofisi unachapa marimba ya mzungu unatakiwa kula kiduchu tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…