Kumbe wale wanaotaka order ya kiti moto kilo 1.5 na ugali huwa wanapanua utumbo tu

Hii ni kweli, kula sana sio afya.

Binafsi nilishawahi kaa siku nne nakunywa chai kavu na maji mengi.

Maji ni muhimu sana.
hii n kawaida sana, fatilia akina mama walokole.... wanafunga wanakunywa maji tu na juis kidogo kwa siku 21 na kazin bado wanaenda wanapiga kazi kama wanakula vile
 
Nadhani kwakuwa msosi wa siku hizi una kemikali za kutosha hata ukijibana unakula sumu,
Nina wazee wangu wamevuta tumbaku Ile ya kunyonga mwenyewe ,wameishi umri mrefu wa kutosha kuwaacha watoto na wajukuu na vitukuu
 
Watanzania wengi wanakula hovyo sana.
Unaweza kukuta watu wawili wanakula kilo moja ya kitimoto, ndizi nne na pepsi au bia kwa mlo mmoja!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ule yai moja halafu utegemeee umfikishe mkeo kileleni si kweli!

Wanawake wenyewe wa Kiswahili walivyo na matako makubwa bila lishe hutoboi!
 
Ndio maana tatizo la kiribatumbo linazidi kuongezeka kila siku Africa. Zamani Waafrika hawakuwa wanakula kama wengi wanavyokula sasa hivi mikate meupe, ugali sembe, wali, vitumbua, maandazi, masoda, bia n.k. Lishe mbovu ni janga haswa nchi wakati wetu, na kwa kiasi kikubwa inachangiwa na ukosefu wa maarifa ya mlo bora.
 
Huu utopolo umenishinda. Hata nikila nusu yai kwa siku nzima bado nitakufa tu. Nimeona wengi waliofanya diet wametangulia mimi ninayekula kitimoto kilo moja na nusu nipo nadunda tu
 
Hivi mkuu mayai ya kukaanga yana protein?
Mi hupendelea kula ya kukaanga kuliko kuchemsha.
Mayai ya kukaanga yana mafuta ya ziada ambayo unaweza kuyaepuka kwa kuchemsha.
 
Sasa haya maparachichi huku Tukuyu tumuachie nani

Nyie BANYAMBALA,fanyeni utafiti mpate masoko ya kuyauza hayo MAPARACHICHI huko BONDENI badala ya kuwatajirisha hao middle men!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…