Kumbe walishasaini siku nyingi tu!!!

Document ya kwanza, kwa upande wetu ilisainiwa na Mzanzibari mwezi February 2022.

Document ya pili ilisainiwa na Mzanzibari mwingine Octobwr 2022.

Ni biashara za wazanzibari kwa mali za watanganyika.
 
Document ya kwanza, kwa upande wetu ilisainiwa na Mzanzibari mwezi February 2022.

Document ya pili ilisainiwa na Mzanzibari mwingine Octobwr 2022.

Ni biashara za wazanzibari kwa mali za watanganyika.
Huu ni sawa na udalali kabisa!!
 
Document ya kwanza, kwa upande wetu ilisainiwa na Mzanzibari mwezi February 2022.

Document ya pili ilisainiwa na Mzanzibari mwingine Octobwr 2022.

Ni biashara za wazanzibari kwa mali za watanganyika.
Sipati picha hii kitu ingefanyika kinyume, huo moto ungekua zaidi ya ule wa Jehanam
 
Habari ndio hio na kuna documents kabisa nimeziona twitter kwa Mdau mmoja zikithibitisha hilo na Mama anasomeka katika hizo documents.

Halafu kumbe hii kitu ilifanyika tangu mwaka jana na Mjengoni ilikuwa ni kukamilisha ratiba tu.

Kazi tunayo.
Ukiona usaha jua jipu limeshaiva

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha wamatumbi sie tutawaliwe na ma sultan akili itukae sawa. Kama tunaona shida kutamka sisi ni watanganyika kama wanavyo jiita wazanzibari kuna lipi lingine isipokuwa kutwaliwa na masultan?
 
Shida yako nini
 
Ndo maana walikuwa wanatumia nguvu nyingi sana maana ongegoma ingekuwa nia aibu
 
Kama ni kweli...........!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…