Kumbe wanachojivunia TRA ni peanut!

Kumbe wanachojivunia TRA ni peanut!

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
3,018
Reaction score
1,151
Asubuhi nilimsikia David Kafulila akijenga hoja kuwa, Wakati Mkapa anaondoka madarakani makusanyo ya kodi kwa mwezi zilikuwa ni bil 200 na ushee hivi, pesa hiyo ukiibadili into $ ambayo wakati huo exchange rate ilikuwa 1$=1000Ts unapata Mil $ kama 200 hivi. Leo hii TRA wanajipiga kifua kwamba wanakusanya 420bil, ambayo kwa exchange rate ya sasa tuchulie 1$=1550Tsh ni sawa na $ mil 260 hivi!!! Almost tuko pale pale baada ya miaka 6, 7 hivi!!!!!

Hii kiuchumi inamaanisha nini?
TRA na rais wetu ambaye siku za hivi karibuni amekuwa anajipiga kifua kwa hilo wanajua wanachokisema? Au wanatudanganya toto na hizo figures kubwa kubwa?
 
nina uhakika % kubwa hapa inatokana na PAYE, labda labda ukiongeza na kodi ya sigara na bia, very petty earners ndo wanabanwa
 
Ahsante saana. Hizo data ni changa la macho, Mh.Mkapa alikusanya kidogo tukakiona. Wanakusanya kingi hatukioni,
Wangeonekana mashujaa kama dhahabu, almasi,tanzanite yetu ingegeuka barabara imara, hospitali, shule, vifo vya watoto na kina mama viwe chini kabisa,mfumuko wa bei ungekuwa labda kati 3% na 4%, polisi wawe watenda haki tungesema heko. Wenzetu Botswana na SA wameweza.
 
Asubuhi nilimsikia David Kafulila akijenga hoja kuwa, Wakati Mkapa anaondoka madarakani makusanyo ya kodi kwa mwezi zilikuwa ni bil 200 na ushee hivi, pesa hiyo ukiibadili into $ ambayo wakati huo exchange rate ilikuwa 1$=1000Ts unapata Mil $ kama 200 hivi. Leo hii TRA wanajipiga kifua kwamba wanakusanya 420bil, ambayo kwa exchange rate ya sasa tuchulie 1$=1550Tsh ni sawa na $ mil 260 hivi!!! Almost tuko pale pale baada ya miaka 6, 7 hivi!!!!!

Hii kiuchumi inamaanisha nini?
TRA na rais wetu ambaye siku za hivi karibuni amekuwa anajipiga kifua kwa hilo wanajua wanachokisema? Au wanatudanganya toto na hizo figures kubwa kubwa?

Wewe umesoma hesabu wapi aisee ? mbona akili hamna kabisa ? $ Billion 200 ni sawa na dola billion 260 ?. Hilo ongezeko la 30% , unaona dogo?
 
Wakati Mkapa anakusanya kidogo alikuwa na matumizi kidogo, lakini mwenzetu matumizi yake hayaendani na mapato.
 
Huu ni uchunguzi mzuri sana. Kwenye mishahara pia ni hivyo hivyo. Mtu aliyekuwa analipwa shilingi laki moja mwaka 2005 ambaye mshahara wake umepanda na kufikia laki moja na nusu hajapiga hatua yoyote. Hii ndiyo maana kila mahali maisha magumu, ni kwa sababu mishahara imebaki pale pale.
 
Asubuhi nilimsikia David Kafulila akijenga hoja kuwa, Wakati Mkapa anaondoka madarakani makusanyo ya kodi kwa mwezi zilikuwa ni bil 200 na ushee hivi, pesa hiyo ukiibadili into $ ambayo wakati huo exchange rate ilikuwa 1$=1000Ts unapata Mil $ kama 200 hivi. Leo hii TRA wanajipiga kifua kwamba wanakusanya 420bil, ambayo kwa exchange rate ya sasa tuchulie 1$=1550Tsh ni sawa na $ mil 260 hivi!!! Almost tuko pale pale baada ya miaka 6, 7 hivi!!!!!

Hii kiuchumi inamaanisha nini?
TRA na rais wetu ambaye siku za hivi karibuni amekuwa anajipiga kifua kwa hilo wanajua wanachokisema? Au wanatudanganya toto na hizo figures kubwa kubwa?
Kwa hili sina comment,kwakuwa najua figures nyingi za serikali including za TRA,Bank kuu nk.ni fake.They are meant to impart a good image kwa wananchi kumbe mambo yameoza!
 
Hata uhalisia wa makusanyo yenyewe haujajidhirisha! Mambo mengi yame-slow down na hata kukwama kabisa! Serikali inafikia mpaka kukopa pesa za mishahara ya wafanyakazi! The figures are tempting and they use that as their weapon to highlight their achievement which when analyzed in economically it has no significance at all.
 
Back
Top Bottom