Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,151
Asubuhi nilimsikia David Kafulila akijenga hoja kuwa, Wakati Mkapa anaondoka madarakani makusanyo ya kodi kwa mwezi zilikuwa ni bil 200 na ushee hivi, pesa hiyo ukiibadili into $ ambayo wakati huo exchange rate ilikuwa 1$=1000Ts unapata Mil $ kama 200 hivi. Leo hii TRA wanajipiga kifua kwamba wanakusanya 420bil, ambayo kwa exchange rate ya sasa tuchulie 1$=1550Tsh ni sawa na $ mil 260 hivi!!! Almost tuko pale pale baada ya miaka 6, 7 hivi!!!!!
Hii kiuchumi inamaanisha nini?
TRA na rais wetu ambaye siku za hivi karibuni amekuwa anajipiga kifua kwa hilo wanajua wanachokisema? Au wanatudanganya toto na hizo figures kubwa kubwa?
Hii kiuchumi inamaanisha nini?
TRA na rais wetu ambaye siku za hivi karibuni amekuwa anajipiga kifua kwa hilo wanajua wanachokisema? Au wanatudanganya toto na hizo figures kubwa kubwa?