Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #41
Mpe za uso mkuu naona huyu hakujui!!
Sasa yeye anayeng'ang'ania RAO na mwenzake wavunje katiba ana nini kwao kama siyo mapenzi? Wakubali tu hii imekula kwao kutokana na timing zao kuwa mbovu kuliko ilivyokuwa inatarajiwa. Mwenzao alicheza game vizuri ndo maana akashinda. Hata kama uchaguzi ungerudiwa leo RAO jamani hashindi!!! Maana kwenye marudio Mumbi watapeleka kupiga kura hadi wagonjwa walioko vitandani (yaani hawajiwezi)!!!
Tunawatakia mapumziko mema ya miaka mitano. Kalonzo avumilie tu maana umri yeye bado unaruhusu atarudi tu mbona miaka mitano siyo kitu!!! Ila jamaa aliwaahidi angependa kufanya nao kazi sasa wamejiharibia wenyewe walau wangekubali kushindwa tu wakasubiri nafasi za sandakarawe!!
Mashabiki wao humu jamvini ni mapovu tu yanawatiririka. Hawaamini somo na mwishowe wameishia matusi hata kilichomkuta swahiba wao hata hawakijui. Wasichojua raila alifeli darasa la nne sasa kazi ya kuongoza nchi kweli ataweza? Wapigakura wamesema hawamhitaji sasa anajaribu kujenga mazingira ya serikali ya mseto jambo ambalo katiba mpya limesema "NO"