Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ehehehhehehe we unashangaa makofi!
watu wanazo mpka zenye meno,zenye ulimi,zenye kiduku,zingine zina filimbi!
uuuwih! dada mkubwa yupo banaaa!
we baki hapa hapa banaa!muache akalale!
sas nenda af urudi baadae uone kama ntakwambia zinachotaje maji!
ENH nenda!akakutie makwenzi kwanza na kukupa vifinyo vya mapajani!
mi sendi!labda kesho asubuhi!
ni koku huyo thio mimi dada mkubwa!
:tape:
huyu snowhite ni mdogo wangu, just like you.... kwa hiyo mtajuanaHa ha ha ha ah haaaa...na viduku...mmhhh
Dada Fixed Point naomba unifungulie mlango pacha wako ana mpango wa kuvunja mbavu zangu.
we baki hapa hapa ntakwambia zinachotaje maji!af uone shemeji yako alikuwa na haki ya kulia kimee mee au alikuwa anafanya masikhara!Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa zinachota maji? mi staki bwana snowhite..huku filimbi....
Haya siendi..na makwenzi ya dada yanavyoumaa...ngoja nibaki nipate expiriensi.
Kumbe ndo maana wababa wanaliaaa...we ichote maji mmmhhh
Yani umekwepa wee mwishowe umeona ucomment!!Je wale wanaowang'ata wenzi wao wanapofika kileleni hujawahi kuwasikia..
Unakutana na mwanaume au mwanamke ana makovu ya meno shingoni na kifuani utadhani alikuwa kibaka.....
we baki hapa hapa ntakwambia zinachotaje maji!af uone shemeji yako alikuwa na haki ya kulia kimee mee au alikuwa anafanya masikhara!
AF usikute ahta hajui kama analiaga!
ahahahhah hii imfikie watu8 usiute analiaga af hajui kama analia au anachekaga!
wapi mtaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ha ha haaaaa kweli imekubali....inawezekana akili zikirudi akiambiwa alikuwa analia ataeza bisha kiama.
watu8...mtani wako anasema inatokeaga unalia bila kujijua