Kumbe wanaume nao hulia kunako 6 by 6, experience yake ikoje? Please

Kumbe wanaume nao hulia kunako 6 by 6, experience yake ikoje? Please

Hiyo pia ni moja ya njia ya kuonesha furaha isiyoelezeka unayoipata 6 by 6. Chezea mchezo weye.
 
Majanga majanga....kuchapa nako raha

Hahah ni raha lakini nijuavyo yahitaji umaridadi na wala sio kulialia....

Yaani natamani invizibo angeruhusu utuwekeemo hicho kilio cha mwanaume hahaha
 
We acha tu,usione watu wana vaa suti na tai!!Kuna siri nyingi sana.Mzima lakini?

Acha kabisa..pengine wengine hupigwa makofi wakielekezwa...wee sio huko, weka vizuri n.k...mie mzima rafiki.
 
Je wale wanaowang'ata wenzi wao wanapofika kileleni hujawahi kuwasikia..
Unakutana na mwanaume au mwanamke ana makovu ya meno shingoni na kifuani utadhani alikuwa kibaka.....

Hiyo na yenyewe kali..inabidi kuvaa mask lool
 
Acha kabisa..pengine wengine hupigwa makofi wakielekezwa...wee sio huko, weka vizuri n.k...mie mzima rafiki.
Hahahahahahaha!Nimecheka sana mpaka rafiki zangu wakanishangaa.Poa nafurahi kusikia hujambo rafiki.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kulia inatokea.... lakini si kila wakati. Inategemea combination ya mambo mengi wala si penetration au kupewa denda denda peke yake.
 
Nani mpenzi wa soka atwambie kama timu yake ikifunga goli huwa anaimeza furaha ama anapagawa kwa ushindi.Fikiria unapofurahia goli halafu unafumba mdomo inakuwaje?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
LOL.. Asprin wacha kuzuga milio yenu na cacico huwa ni kama ya paka dume na jike kataa nikuwekee cd makavu.
 
Last edited by a moderator:
Hata mie nahisi, ikabidi akashushiee juisi sijui soda kwenye kiosk. Hali haikuwa shwari kabisa.

Hahahahahah lol! Inadaiwa si miguu tu iliyokufa ganzi bali kuna maeneo mengine yalianza kufanya vitu vya ajabu ajabu lakini hapa jamvini kaamua kuyapotezea na kubakisha kufa ganzi kwa miguu tu kwi kwi kwi kwi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom