BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Ahsante kwa experience Madame B, kumbe wapo..mie sikuwahi kufikiri kabla....ila kilio nilichokisikia kweli nilikuwa hoi hoi
Majanga majanga....kuchapa nako raha
Huyo ukiniambia analiaga, wala hata sishangai!Naye analiaga?
muombe akugegede hata mara moja tu.
Haya KOKUTONA, njoo usome hii useful post.
Uwaite na kina Fixed Point waje wayaone maisha katika mwanga wa ajabu.
Hahahahahahaha!Nimecheka sana mpaka rafiki zangu wakanishangaa.Poa nafurahi kusikia hujambo rafiki.Acha kabisa..pengine wengine hupigwa makofi wakielekezwa...wee sio huko, weka vizuri n.k...mie mzima rafiki.
Hahahahahah lol! Inadaiwa si miguu tu iliyokufa ganzi bali kuna maeneo mengine yalianza kufanya vitu vya ajabu ajabu lakini hapa jamvini kaamua kuyapotezea na kubakisha kufa ganzi kwa miguu tu kwi kwi kwi kwi
hongera zakeAnakwambia kimya kimya ndio habari ya mjini.
Atazipata salamu zangu mumie.
hili siyo jibu, unaliaga?